Akipewa Pasi Katika Eneo La Mpinzan Anakimbia Na Mpira Mpaka Karibu Kidogo Na Eneo La Penalty Kisha Anapiga Pasi Kwa Vinicius Jr Mibeki Yote Inamfata Vinicius Kwasababu Wanajua Yeye Ndo Hatari Na Msumbufu Naye Anawazuga Na Vichenga Vyake Vya Kiufundi Apo Mabeki Washamsahau Benzema Af Kwa Haraka Vinicius Anapenyeza Pasi La Upendo Katikati Yao Kisha Mabeki Wanashtukia Kelele Tu Za Mashabiki Uwanjani Wakishangilia Kwa Nguvu Kutahamaki Tayari Mpira Upo Kambani Na Mzee Mzima Benzema Ameshafika Kwenye Kibendera Anashangalia [emoji23]