Tumeshandaa template ya pongeziWakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:30:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!
Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Inaonyeshwa na channel gani ya bongo live au wanachambua Simba na Yanga?Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:30:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!
Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Nimejaribu kuangalia hata mkombozi wa wanyonge KBC ambao mtu wa Kenya akiwa anashiriki riadha husimamisha vipindi gafla ili wananchi wajionee naona wao wanaendelea na ibada ya jumapili labda kwenye hizo mbio hakuna Mkenya 🇰🇪 anayeshirikiAzam Bado wanachambua simba na yanga..
Tbc wanaonesha madarasa ya mama huko Tarime
Bahati haiji mara mbili tegemea masikitikoo...Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:30:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!
Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Nimejaribu kuangalia hata mkombozi wa wanyonge KBC ambao mtu wa Kenya akiwa anashiriki riadha husimamisha vipindi gafla ili wananchi wajionee naona wao wanaendelea na ibada ya jumapili labda kwenye hizo mbio hakuna Mkenya 🇰🇪 anayeshiriki
Inaonyeshwa na channel gani ya bongo live au wanachambua Simba na Yanga?
Sasa kama nyie wa kwenu wenyewe mmeshindwa hata kuwasiliana na wadau wa huko angalau watumie Smartphones kuleta habari na kutupia tupicha kweli utegemee watu wenye wakwao wakuonyeshe wenu ?Wala huyo jamaa haonekani popote ama kashaa jitoa ya yupo lile kundi la mwisho