Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Sep 21, 2025 #21 huyu jamaa kwenye olympics hii iliyopita hakumaliza mbio vipi awamu hii
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 Sep 21, 2025 Thread starter #22 Lax said: huyu jamaa kwenye olympics hii iliyopita hakumaliza mbio vipi awamu hii Click to expand... Nadhani hata kashindwa kumaliza lakini Kun mwezake amemaliza Kwa masaa 2:16 Anitwa Panga Joseph
Lax said: huyu jamaa kwenye olympics hii iliyopita hakumaliza mbio vipi awamu hii Click to expand... Nadhani hata kashindwa kumaliza lakini Kun mwezake amemaliza Kwa masaa 2:16 Anitwa Panga Joseph
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,681 Reaction score 12,444 Sep 21, 2025 #23 Kila la kheri kwake
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Sep 21, 2025 #24 Inside10 said: Nadhani hata kashindwa kumaliza lakini Kun mwezake amemaliza Kwa masaa 2:16 Anitwa Panga Joseph Click to expand... yeah nimeuona hapa wamemuweka wa 9,, yule mwingine tatizo sjui litakua nini kama nahii kashindwa kufika mwisho,, alafu hapa kati walitangana kaanzisha camp/kituo cha wanariadha huko manyara atakumbukwa kwa hilo
Inside10 said: Nadhani hata kashindwa kumaliza lakini Kun mwezake amemaliza Kwa masaa 2:16 Anitwa Panga Joseph Click to expand... yeah nimeuona hapa wamemuweka wa 9,, yule mwingine tatizo sjui litakua nini kama nahii kashindwa kufika mwisho,, alafu hapa kati walitangana kaanzisha camp/kituo cha wanariadha huko manyara atakumbukwa kwa hilo
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Sep 21, 2025 #25 Huyu Geay ana tatizo la kutomaliza mbio