Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni siku ya furaha sana team JPM tunagonga grass tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taarifa za hivi punde zinasema Benard Memba aliyewahi kua Waziri wa Mambo ya nje amefariki Dunia katika hospital ya Kairuki alipopelekwa baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi.
Souce: ITV
Leo kundi limevurugwa kabisa!RIEP BM. Njia yetu sote hiyo.
Ila, wema huwa hawafi. Mzee Makamba, sura ya 26 mstari wa 18 mpaka 23
Wataalam wa kolomijeiLazima atazilipa....sema hakuna wa kuzitilia mkazo..
Hapo ndio mlungula utatembea na kesi kufunikwa...
Nawaza tu,sina hakika.
Washachungulia vibuyu.
Membe ni jasusi mbobevu? Si ajabu Tz bado tupo hapahapa tunachechemeaNGUVU KALI ZA GIZA ZIMETUMIKA HAPA SI BURE, YONO ENDELEA NA KAZI YAKO FEDHA ZIKABIDHIWE KWA FAMILIA,
RIP JASUSI MBOBEVU.
Msimamizi wa Mirathi atarithi na deni la Musiba hivyo lazima lilipwe.VP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Mungu ni wapweke na muweza wa yote,Nimewaza sana kama wewe. Exactly the same.
ulimuona akichekelea?Safi sana,alichekelea kifo cha mpendwa wetu Magufuli.
Kuna waliemtanguliza piaKama wamemtanguliza watamfuata
Changamoto za kupumua ?!!Hakika .
Musiba tupo naye hapa tuna choma buzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama namuona Musiba huko aliko.[emoji2219][emoji2219][emoji2219]
Mm natamani musiba ALIPE deni Ili iwe fundisho huko mbeleni Kwa faida ya vizazi vijavyo.....RIP ila pesa inakuwaje?inaendelea kulipwa au?msimamizi wa mirathi ataendelea kukomaa na deni?