TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
R.I.P classmate
IMG_6824.jpg
 
#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.

Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi

#RIPMembe
#ITVUpdatesView attachment 2618759
R.I.P Membe
 
Back
Top Bottom