Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mjanja kwenye hilo. Sote tutaonja mautiJPM aliwahi Kusema "No one is Permanent"
Na yeye apumzike kwa Amani pia.
R.I.P Membe#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi
#RIPMembe
#ITVUpdatesView attachment 2618759
BhalaaRIP Membe.
Musiba anashingilia saa hizi.