thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
"The list I well known by unknown. "Hakuna mtu anashangilia kifo cha mtu ila ktk hili ni SoMo kwetu hasa wale waliopo ona Magufuli amefariki wakaona ndio muda wakumnanga na kumsema yote wamesema kumbe njia ni moja kwangu ni mvua imeanza japo wengi hawato amini. The list I well known by unknown. Hangaikeni na pelekeni mashauri Mengi juu ya Hayati Magufuli ila mwisho sote ni waja wake na sote tutarejea. Hayati hana kosa na kama anakosa basi ccm ndio wajijuwe makosa yake ni kwa kukitetea chama na sera za chama ambazo ndio sababu ya chama. Chama kina sera je mlitaka sera yakula nchi while watu hawana kitu ama ujenzi wa Taifa? Je mlitaka chama cha mapandikizi na kulitesa Taifa na kugawana vyoe au chama chenye kusimamia haki na kuleta heshima kwa kila Mtanzania, je mlitaka chama cha undugu au chama cha watu wote... Tafakarini kabla yakuinua midomo na kumsema vibaya Hayati. Asante