TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Hakuna mtu anashangilia kifo cha mtu ila ktk hili ni SoMo kwetu hasa wale waliopo ona Magufuli amefariki wakaona ndio muda wakumnanga na kumsema yote wamesema kumbe njia ni moja kwangu ni mvua imeanza japo wengi hawato amini. The list I well known by unknown. Hangaikeni na pelekeni mashauri Mengi juu ya Hayati Magufuli ila mwisho sote ni waja wake na sote tutarejea. Hayati hana kosa na kama anakosa basi ccm ndio wajijuwe makosa yake ni kwa kukitetea chama na sera za chama ambazo ndio sababu ya chama. Chama kina sera je mlitaka sera yakula nchi while watu hawana kitu ama ujenzi wa Taifa? Je mlitaka chama cha mapandikizi na kulitesa Taifa na kugawana vyoe au chama chenye kusimamia haki na kuleta heshima kwa kila Mtanzania, je mlitaka chama cha undugu au chama cha watu wote... Tafakarini kabla yakuinua midomo na kumsema vibaya Hayati. Asante
"The list I well known by unknown. "
 
Sasa nimekubali Urais lazima ugomvee ukiwa na miaka 45 hadi 55.

Kuna mmoja atakuwa na miaka 65 mwaka 2025 anaomba Kuendelea kuwa Rais.

Ikifikia 2030 atakuwa na miaka 70!!!

Mimi ninaomba niwe makamu wake Yeye Akiwa Rais Ili katiba yetu itumike niingie magogoni kiulainiiiiii
Angalia usije ukakufuru! Huijui kesho yako!
 
Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.

Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.

Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.

Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Shangilia weweeeee wacha kupitwa na mambo matamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Huyu ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii, aliyeweza kuongea ukweli juu ya uvunjifu wa haki za waTanzania uliofanywa na Serikali ya magufuli, huna ubaya mtu mwenye msimamo, tunakuombea
 
Attachments

  • 5345876-e8638572ea5e114c088a90e27355f831.mp4
    2.4 MB
Ivi cororo aka bill gate imerudi aisee Kuna vikohozi flani vimeingia watu wanakohoa balaa halafu vina bana mbavu aisee sasa naanza rasmi kupiga nyungu mixer mitangawizi r .i.p mheshimiwa Bernard membe, musiba deni liko pale pale hujasamehewa.
 
Hata kama Membe kafa, deni liko pale pale. Na msimamizi wa mirathi hataweza kumsamehe Musiba kama ambavyo angefanya Membe mwenyewe.

Hivyo, kifo cha Membe ni kibaya zaidi kwa Musiba hata kama atakuwa "anachekelea" sasa
 
Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.

Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.

Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.

Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Mungu fundi.
 
Au unafikiri majasusi wenzake wamemzidi mahesabu?
Absolutely ☝️☝️

Ningesikia Edward Lowassa hayupo, nisingeshangaa. Lakini Kwa huyu mwamba, I am shocked bro. So many questions so far..

Labda soma hii 👇👇👇👇hapa chini halafu jaribu kuunganisha dots. Walishatoa taarifa before

Back
Top Bottom