Wajinga wengi humu JF wanadhani sheria inaendeshwa au kutekelezwa kwa opinion, haiko hivyo.
Ya ni kweli kaka,
Maana wanaodaiwa wanaweza, nao ni wajanja wanaangalia kesi inaonesha aliyekuwa anadai nani.
Maana taharifa za kesi so wanazo.
Sasa wakichalengi tena madai.
Na kesi kuanza kusikilizwa upya, ambapo anayedai hayupo.
Itakuwa ni ngumu sana tena ngumu mno.
 
Mkuu, naomba unitoe kwenye utata, nipe kifungu cha sheria kinachoruhusu ama kukataza utekelezwaji wa hukumu iliyokwishatolewa juu ya ulipwaji wa kile kiasi cha pesa.
Hakuna kifungu chochote, ni sawa ukope bank mkopo halafu watu wa bank wanakuja kuandika Yale maandishi yao nyumba hii inauzwa na bank, wakiondoka wewe unafuta Yale maandishi, sasa hapo unakuwa unamdanganya nani?
 
Hivi kuna mtu au Mtanzania yoyote ambaye si mtumishi wao aliyewahi kwenda ku-print documents zake au kupiga photocopies tu ktk stationery au kiwanda cha TISS?
Kama yupo tunaomba ajitokeze ili tupate uzoefu mpya kutoka kwake.
Ni dhahiri Musiba alikuwa/ana uhusiano wa karibu sana na TISS na huenda ndio waliofanya mauaji haya
 
mkuki kwa nguruwe furaha kwa binaamu mchungu em tulieni sindano izame wa kwenu akikata moto inawauma eenh MUSIBA tuko na wewe
Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, kufa ni Faida. Wafilipi 1.21
 
Musiba anaishi kama digidigi? Haya ni maneno ya kujifariji tu.

Hivi kwa nguvu na mtandao alionao membe musiba hata akiishi kama digidigi anashindwa kupatikana? Musiba huyu ambae kila leo yupo hapo mwanza akilewa?
 
Mimi nimefurahi Membe kufariki kama yeye alivyofurahi kwa Mwamba kututoka! Na bado wengine!
 
Wanasema kirusi cha Covid kilichoboreshwa kimepiga hodi mjini. May be ndicho kimeondoka na jasusi letu bobevu. Sote tuchukue tahadhari na tuliombee jasusi letu lipumzike kwa amani. 🙏🏿
Msianze kutisha watu,Hakuna kitu kama hicho.Corona yenyewe ilikuwa a hoax.You guys believe every shit around,watawamaliza!
 
@Dr Maatola PhD, nadhani uelewa wako juu ya status ya huduma za afya kwa TANZANIA ni mdogo sana. Kwa sasa the best hospital ni za serikali tu, yaani huwezi linganisha Muhimbili na Aga Khan wala Kairuki. Pia Maswali yangu yanalenga kujua kwa nini kiongozi wa serikali tena mwandamizi apelekwe kihospitali kidogo kisichokuwa na hadhi badala ya Muhimbili au hiyo Mzena??? Je usalama wake huko inakuwaje? Kwa hiyo maswali yangu yanalenga hasa kwenye huduma za kiusalama kwa kiongozi maana Mzee Membe kalitumikia hili taifa kwa uzalendo wa hali ya juu, sisi kama rais wazalendo ni muhimu tukafahamishwa kwanini kiongozi wetu apelekwe kihospitali cha kawaida???
 
Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, kufa ni Faida. Wafilipi 1.21
 
Hatar sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…