Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unampenda nenda kazikwe naye tuone mahaba yako sasa
Jamaa alikuwa hakui miaka 70 sura Kama Kama kijana wa miaka 30Naomba Wanajukwaa tupunguze ukali kidogo kuhusu msiba huu wa Membe. Nimeona baadhi ya komenti za members huku wakiuliza mzoga wa Membe unazikwa lini sio mzoga ni mwili.Mods Mods Mods tafadhalini msikurupuke kunipiga ban bila kusoma nilichoandika. Tukutane Mwailubi badae wadau.View attachment 2618971
Mtanipa majivu niyapeleke Chato.Wanachoma kama maponjoro!!
Mwili wa binadamu baada ya kifo hauna thamani bali mtendo yake kabla ya kufa ndiyo yana thamani!!
Bomu linalofuata linatua msoga [emoji1787]Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Kabisaa jamaa alikua na uso wa kitoto sana.Jamaa alikuwa hakui miaka 70 sura Kama Kama kijana wa miaka 30
Hana hata mviJamaa alikuwa hakui miaka 70 sura Kama Kama kijana wa miaka 30
Ukimweka na January Makamba utadhani January Makamba ni babu yake Membe.Hana hata mvi
Hao watakuwa watani si unajua kwenye misiba watu wanataniana mkuu mh si mmakonde itakuwa watani zake wagogo,wangoni,waruguru,wapogoro,wamanda na wasukuma na makabila mengine ambayo ni watani na wamakonde.Naomba Wanajukwaa tupunguze ukali kidogo kuhusu msiba huu wa Membe. Nimeona baadhi ya komenti za members huku wakiuliza mzoga wa Membe unazikwa lini sio mzoga ni mwili.Mods Mods Mods tafadhalini msikurupuke kunipiga ban bila kusoma nilichoandika. Tukutane Gamboshi badae wadau.View attachment 2618971
Vitakatifu huwa havichanganyiki na viovu!!Mtanipa majivu niyapeleke Chato.
Membe alikuwa na personal relationship na pale Kairuki! Kama ni hofu ya usalama, he'd be safer pale Kairuki kuliko huko kwingine.@Dr Maatola PhD, nadhani uelewa wako juu ya status ya huduma za afya kwa TANZANIA ni mdogo sana. Kwa sasa the best hospital ni za serikali tu, yaani huwezi linganisha Muhimbili na Aga Khan wala Kairuki. Pia Maswali yangu yanalenga kujua kwa nini kiongozi wa serikali tena mwandamizi apelekwe kihospitali kidogo kisichokuwa na hadhi badala ya Muhimbili au hiyo Mzena??? Je usalama wake huko inakuwaje? Kwa hiyo maswali yangu yanalenga hasa kwenye huduma za kiusalama kwa kiongozi maana Mzee Membe kalitumikia hili taifa kwa uzalendo wa hali ya juu, sisi kama rais wazalendo ni muhimu tukafahamishwa kwanini kiongozi wetu apelekwe kihospitali cha kawaida???
Laa 'Ilaaha 'Illa Allaahu Wahdahu La Shareeka Lahu, Lahul Mulku Wa Lahul Hamdu Yuhyi Wa Yumeet Wahuwa A'la Kulli Shay'iin Qadeer.Bomu linalofuata linatua msoga [emoji1787]
Kwa hiyo mwezi wa kwanza ni kibabu cha Membe?Ukimweka na January Makamba utadhani January Makamba ni babu yake Membe.
Mungu wangu wasukuma nao watani zake mamaaa wamemtaniaaaHao watakuwa watani si unajua kwenye misiba watu wanataniana mkuu mh si mmakonde itakuwa watani zake wagogo,wangoni,waruguru,wapogoro,wamanda na wasukuma na makabila mengine ambayo ni watani na wamakonde.