TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Naomba Wanajukwaa tupunguze ukali kidogo kuhusu msiba huu wa Membe. Nimeona baadhi ya komenti za members huku wakiuliza mzoga wa Membe unazikwa lini sio mzoga ni mwili.Mods Mods Mods tafadhalini msikurupuke kunipiga ban bila kusoma nilichoandika. Tukutane Mwailubi badae wadau.View attachment 2618971
Jamaa alikuwa hakui miaka 70 sura Kama Kama kijana wa miaka 30
 
Naomba Wanajukwaa tupunguze ukali kidogo kuhusu msiba huu wa Membe. Nimeona baadhi ya komenti za members huku wakiuliza mzoga wa Membe unazikwa lini sio mzoga ni mwili.Mods Mods Mods tafadhalini msikurupuke kunipiga ban bila kusoma nilichoandika. Tukutane Gamboshi badae wadau.View attachment 2618971
Hao watakuwa watani si unajua kwenye misiba watu wanataniana mkuu mh si mmakonde itakuwa watani zake wagogo,wangoni,waruguru,wapogoro,wamanda na wasukuma na makabila mengine ambayo ni watani na wamakonde.
 
@Dr Maatola PhD, nadhani uelewa wako juu ya status ya huduma za afya kwa TANZANIA ni mdogo sana. Kwa sasa the best hospital ni za serikali tu, yaani huwezi linganisha Muhimbili na Aga Khan wala Kairuki. Pia Maswali yangu yanalenga kujua kwa nini kiongozi wa serikali tena mwandamizi apelekwe kihospitali kidogo kisichokuwa na hadhi badala ya Muhimbili au hiyo Mzena??? Je usalama wake huko inakuwaje? Kwa hiyo maswali yangu yanalenga hasa kwenye huduma za kiusalama kwa kiongozi maana Mzee Membe kalitumikia hili taifa kwa uzalendo wa hali ya juu, sisi kama rais wazalendo ni muhimu tukafahamishwa kwanini kiongozi wetu apelekwe kihospitali cha kawaida???
Membe alikuwa na personal relationship na pale Kairuki! Kama ni hofu ya usalama, he'd be safer pale Kairuki kuliko huko kwingine.

And REMEMBER: Ni kifua tu kilimbana...

Kairuki haina udogo wa kushindwa ku-handle issues kama hizo lakini siku ikifika, hata mafua yanakuondoa!!
 
Hao watakuwa watani si unajua kwenye misiba watu wanataniana mkuu mh si mmakonde itakuwa watani zake wagogo,wangoni,waruguru,wapogoro,wamanda na wasukuma na makabila mengine ambayo ni watani na wamakonde.
Mungu wangu wasukuma nao watani zake mamaaa wamemtaniaaa
 
Back
Top Bottom