Kufa ni kufa tu death is a necessary end. Ugombane usigombane ushangilie usidhangilie unune usinune death will come when it will.
 
Inawezekana wao wamefanya mambo wengi wakidhani Musiba.
Ila nzito zaidi ni tatizo la afya linaweza likawa lilimkuta na hizi umri pia kashkash za maisha.
Timing ndo imezua mengi.
Upo sahihi kwa 99%...

Watu wanasahau kwamba umri wa passport wa Membe ni 70.

Nasema "umri wa passport" coz' Ben kasoma darasa moja na baba yangu mkubwa, and he's 77 NOW.

Hata kama hicho hakiwezi kuwa kigezo lakini inafikirisha kidogo watu wa darasa moja, tena primary school halafu wanakuwa na gap la 7 years!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…