TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Kama namuona Musiba huko aliko.🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
2D6E440C-ED37-480B-9340-370F03AB0FE7.gif
 
Nape Nauye waziri wa habari tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo Cha Rais Magufuli,kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.

Bado Zito Kabwe kwani na yeye ni mmoja ya waliotoa lugha Cha Kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe nae. Zito Kabwe atashihudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Kufa ni kufa tu death is a necessary end. Ugombane usigombane ushangilie usidhangilie unune usinune death will come when it will.
 
Inawezekana wao wamefanya mambo wengi wakidhani Musiba.
Ila nzito zaidi ni tatizo la afya linaweza likawa lilimkuta na hizi umri pia kashkash za maisha.
Timing ndo imezua mengi.
Upo sahihi kwa 99%...

Watu wanasahau kwamba umri wa passport wa Membe ni 70.

Nasema "umri wa passport" coz' Ben kasoma darasa moja na baba yangu mkubwa, and he's 77 NOW.

Hata kama hicho hakiwezi kuwa kigezo lakini inafikirisha kidogo watu wa darasa moja, tena primary school halafu wanakuwa na gap la 7 years!
 
Back
Top Bottom