Nyie si mlijua mtaishi milele kiko wapi?.
 
Duh! Anashindwa kupatikana kivipi? Kwani ulishawahi kusikia kuna order ya kukamatwa kwake hadi useme "anashindwa kupatikana"?

Au ulisikia kuna mtu alikuwa anamsaka?!

Btw, kwanini awe Mwanza wakati shughuli zake zilikuwa Dar?!
Uliposema anaishi kama digidigi ulimaanisha nini?
Kwa nini yupo Mwanza na shughuli zake ni dar? Ukiwa na shughuli dar huruhusiwi kwenda Mwanza? Mtu anayeishi Mwanza ulitaka anyone vipi musiba akiwa dar?

Aliyepo dar ndio atasema anapomuona, na aliyepo Mwanza atasema anapomuona
 

Nafikiri wewe ndo una conflict na nafsi, watu wana comment for fun tu.
 
Hao watakuwa watani si unajua kwenye misiba watu wanataniana mkuu mh si mmakonde itakuwa watani zake wagogo,wangoni,waruguru,wapogoro,wamanda na wasukuma na makabila mengine ambayo ni watani na wamakonde.
Utani wa makabila hupo, Ila ufike msibani utanie tu weee baadaye case, Umepewa ng'uto, mpaka wakufate upewe ng'uto kazi zote za pale unafanya wewe na utani juu, mi watani wangu wasukuma wanyamwezi siwezi kufika msibani kutania tu, mpaka nipewe ng'uto.
 
Sukuma gang ni hatari kwa nchi hii ndio hao akina Musiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…