Bhna wewe!Watu wa kanda ile hujulikana madhalimu yoote dhidi ya ubinadamu hutokea kule!
Wazuri hawafi camp.shangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😁
ukiona hivyo ujue kifo cha leo kimemgusa
kutesa kwa zamu
kumbe mnajua hiloBahati nzuri ufundi wa MUNGU hautaishia kwa Membe tu, utaendelea...
Furaha ya leo ni ya kulazimisha tu kwa kuwa hakuna mtu aliyekuwa kwenye utumwa kwa Membe kuwa hai.
Mbona hapa unajaribu kuzizuia?Wewe unaweza kuzuia hasira za Volcano!!?
Kati yao kuna mtu alikuwa na roho ya visasi...Membe hakuwahi kuwa adui wa Magufuli
yaniiiiiiii 😃 😁 😃 😁Wazuri hawafi camp.
Na ubaya wa Magufuli ulikuwa ni upi hadi ukasherekea?Inawezekana kuwa hujui historia.
Suala la kufa lilianza tangu zama za Adam Na Eva.
Mtu akifa watu wakafurahi huwa hawafurahii mtu huyo kufa bali wanafurahia mtu mbaya kuondoka kwenye jamii yao.
Membe hakuna mtu aliyemtendea ubaya!!
Au wewe unaweza kuutaja ubaya wa Membe kwa watu!!??
Mpaka uelewe nilichomaanisha...Mbona hapa unajaribu kuzizuia?
Hajala hata dalaPesa alizodai amekula hata Senti Moja?
Magufuli aliwaheshimu sana Viongozi wa DiniKati yao kuna mtu alikuwa na roho ya visasi...
Unakumbuka Nape alipokwenda kuomba radhi njia nzima anajifuta jasho...
Alipoambiwa kasamehewa alitama asujudu hadharani.
Membe apumzike kwa amani, hakuwa na baya na mtu...
Unateseka sana mkuu!Mpaka uelewe nilichomaanisha...
leo wanataka kuzuia hisia za watu hii sio sawa kabisaNyie ndiyo mliokuwa wa kwanza kushangilia kifo Cha JPM na mpaka leo bado mnamtukana.
Nani huyo!?Kwa mara ya kwanza nakupa Like yangu.
Watulie na wayapokee. Mwingine anadondoka kesho mchana
We jua tu wema hawafiPicha za.membe zimetawala mitandao yote
Wapo wanaoshangilia wapo wanao ombolelezaa
Kwa kifupi sielewi tz tunakwenda wapi
Alitengeneza kundi kubwa sana la watu walioamini kupingana naye unastahili kutekwa, kuuawa, kufilisiwa, kufukuzwa kazi, kunyimwa mafao, kudhalilishwa hadharani, kutukanwa hovyo hovyo na zaidi ya yote alitengeneza mazingira ya kuonesha kwamba yeye ni mtakatifu.Na ubaya wa Magufuli ulikuwa ni upi hadi ukasherekea?
Aina ya uzikaji haifanyi mabaya kuwa mema ama mema kuwa mabaya.Unateseka sana mkuu!
Acha watu waoneshe kwamba hii mi mbwa iliwaudhi kufurahia kifo cha mpendwa wao Magu!
Hivi nina swali,... Na yenyewe hii kina mikachero inaenda kufukiwa futi 6?
Huo mzoga mnaufukia liniAina ya uzikaji haifanyi mabaya kuwa mema ama mema kuwa mabaya.
Membe atazikwa kama wakatoliki wengine wanavyozikwa!!
Pole kwa nani sasa?Acheni kujitia moyo, Membe alikwishastaafu utumishi wa umma so impact ya vifo vyao ni tofauti kabisa. JPM alikua anaogopeka na hakuna aliyeweza mzuia kwa chochote ila Mungu tu.
so msitafute consolation kwa Membe kwamba ni karma he was done at the mainstream politics.
poleni sana
haijalishi kufa ni kufa tu msianze kujifariji na miaka kachero mbobezi kafa kafa tu kawa mwendazakeSukuma gang hao mawakala wa shetani mtoa roho,Achana nao fanya kazi yako endelea kumtukuza Mingu kwa kukupa uhai na kushuhudia utukufu wake.Membe kafa kifo chema Miaka 70 wengine hatutafika huko hata yule dhalimu hakufikisha hiyo miaka.