TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Membe hakuwahi kuwa adui wa Magufuli
Kati yao kuna mtu alikuwa na roho ya visasi...


Unakumbuka Nape alipokwenda kuomba radhi njia nzima anajifuta jasho...


Alipoambiwa kasamehewa alitama asujudu hadharani.

Membe apumzike kwa amani, hakuwa na baya na mtu...
 
Inawezekana kuwa hujui historia.

Suala la kufa lilianza tangu zama za Adam Na Eva.

Mtu akifa watu wakafurahi huwa hawafurahii mtu huyo kufa bali wanafurahia mtu mbaya kuondoka kwenye jamii yao.

Membe hakuna mtu aliyemtendea ubaya!!

Au wewe unaweza kuutaja ubaya wa Membe kwa watu!!??
Na ubaya wa Magufuli ulikuwa ni upi hadi ukasherekea?
 
Picha za.membe zimetawala mitandao yote

Wapo wanaoshangilia wapo wanao ombolelezaa

Kwa kifupi sielewi tz tunakwenda wapi
 
Kati yao kuna mtu alikuwa na roho ya visasi...


Unakumbuka Nape alipokwenda kuomba radhi njia nzima anajifuta jasho...


Alipoambiwa kasamehewa alitama asujudu hadharani.

Membe apumzike kwa amani, hakuwa na baya na mtu...
Magufuli aliwaheshimu sana Viongozi wa Dini
 
Na ubaya wa Magufuli ulikuwa ni upi hadi ukasherekea?
Alitengeneza kundi kubwa sana la watu walioamini kupingana naye unastahili kutekwa, kuuawa, kufilisiwa, kufukuzwa kazi, kunyimwa mafao, kudhalilishwa hadharani, kutukanwa hovyo hovyo na zaidi ya yote alitengeneza mazingira ya kuonesha kwamba yeye ni mtakatifu.
 
Unateseka sana mkuu!

Acha watu waoneshe kwamba hii mi mbwa iliwaudhi kufurahia kifo cha mpendwa wao Magu!

Hivi nina swali,... Na yenyewe hii kina mikachero inaenda kufukiwa futi 6?
Aina ya uzikaji haifanyi mabaya kuwa mema ama mema kuwa mabaya.

Membe atazikwa kama wakatoliki wengine wanavyozikwa!!
 
Acheni kujitia moyo, Membe alikwishastaafu utumishi wa umma so impact ya vifo vyao ni tofauti kabisa. JPM alikua anaogopeka na hakuna aliyeweza mzuia kwa chochote ila Mungu tu.

so msitafute consolation kwa Membe kwamba ni karma he was done at the mainstream politics.

poleni sana
Pole kwa nani sasa?

Mungu fundi!
..
Wema hawafi

Mungu ameamu ugomvi
 
Sukuma gang hao mawakala wa shetani mtoa roho,Achana nao fanya kazi yako endelea kumtukuza Mingu kwa kukupa uhai na kushuhudia utukufu wake.Membe kafa kifo chema Miaka 70 wengine hatutafika huko hata yule dhalimu hakufikisha hiyo miaka.
haijalishi kufa ni kufa tu msianze kujifariji na miaka kachero mbobezi kafa kafa tu kawa mwendazake
 
Back
Top Bottom