saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
siyo Nape, sherehe iliwekwa nchi nzima, siyo Mbeya, Manyara, Kilimannjaro, DSM na maeneo mengi nchi hii, au umesahau?Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
mungu ameamua ugomvi, live with it.Kwa ninavyowajuwa Wamakonde kama kuna mkono wa mtu basi kabla ya Arobaini ya Membe lazima chuma kiitike.
Tunza hii comment.
jipeni moyo tu kaenda na kinyongo cha kutokusamehe deni 😁Kuna mahali pamesemwa kuna mtu hatakufa bali ataishi milele?
Membe hana baya na watu!!
Sawa sawa mzee.... Ila Kazi yake Mola haina makosaHavuni makapi mkuu.Ukisikia maandiko yakisema mavuno yako tayari kwa kuvunwa,wanao-zungumziwa ni
watakatifu,not anybody.
Kunywa maji mengi upunguze hasira, na bilioni 9 hampati.Kwa ninavyowajuwa Wamakonde kama kuna mkono wa mtu basi kabla ya Arobaini ya Membe lazima chuma kiitike.
Tunza hii comment.
Hata jiwe alijibiwa baada ya kutaka kumuuwa Lisu kwa risasi badara yake akazikwa yeye.Wote hao watajibiwa ipasavyo
Musiba atailipa estate ya Membe. Yaani warithi wake.Musiba ana furaha ilioje huko alipo jamani mtu atujuze.
Chuki dhidi ya yeyote ni kujidunisha nafsi yako mbele za Muumba mbingu na nchi......kazi yao ilikuwa ni kupishana hewani tu
hahhahhahhah
Haki haiwezi kuwa kinyongo.jipeni moyo tu kaenda na kinyongo cha kutokusamehe deni 😁
Chuki dhidi ya mnyama yeyote ni kujidunisha nafsi yako mbele za Muumba mbingu na nchi.....sembuse binaadamu?!!!Kweli ni mzoga...
Hata mtikila alijenga hoja kwamba mnyama yeyote anapokufa anakuwa mzoga. Na vitani watu husema "Mizoga ya Askari wa Russia ilikuwa imezagaa kila mahali.
Mazishi yake ni jukumu la familia yake.
Heshimu utu wa mtu,ndio maana tamaduni zetu mwili unazikwa lakini nafsi yake inabakia kwa vipenzi wale wa karibu yake,ndio maana hata makaburi yanajengewa na kutunzwaNi mzoga ndiyo.