TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.

Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
siyo Nape, sherehe iliwekwa nchi nzima, siyo Mbeya, Manyara, Kilimannjaro, DSM na maeneo mengi nchi hii, au umesahau?
 
Wote hao watajibiwa ipasavyo
Hata jiwe alijibiwa baada ya kutaka kumuuwa Lisu kwa risasi badara yake akazikwa yeye.
Lakini pia kumbuka huyo huyo jiwe ndo alikuwa anashirikiana na Membe na Samweli Sita kuikejeri afya ya Rowasa kipindi cha kampeni mwaka 2015 lakini wote wamesha zikwa na wamemuacha Rowasa walio kuwa wanamkejeli.
 
Kweli ni mzoga...

Hata mtikila alijenga hoja kwamba mnyama yeyote anapokufa anakuwa mzoga. Na vitani watu husema "Mizoga ya Askari wa Russia ilikuwa imezagaa kila mahali.

Mazishi yake ni jukumu la familia yake.
Chuki dhidi ya mnyama yeyote ni kujidunisha nafsi yako mbele za Muumba mbingu na nchi.....sembuse binaadamu?!!!

Aliokupa umasikini na kukunyima nafasi aliyokuwa nayo Membe ni Mungu.....mlilie huyohuyo.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom