Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Kama ibilisi wa ufipayule alikuwa ibilisi, watanzania wanateseka mpaka leo kwasababu ya yule mwovu, wasomi wanadhalilika mitaani kwasababu ya yule shetani. Membe amewakosea nini watanzania? Hajawahi kuwa na cheo cha yule mfu wenu. Mtaweweseka sana ndio ameshakufa na hawezi kufufuka. Bila haya, mkombozi wetu, alikukomboa wapi we mpumbavu
Mbna JPM anadhihakiwa humu wazi wazi huwa hutoi hizo nasaha zako??Kuwa nyuma ya keybord isikufanye unawehuka,kwako unamuona ivyo lakini nyuma yake ni wengi wanaomtegemea,mfano wewe baba yako mzazi anafariki halafu anatokea mtu unamsikia anasema mbele yako huo mzoga wa baba yako unauzika,utajisikia,heshimu mtu hata yule usiyemjua
Mungu fundiMakamba ,Nape na nyinyi mnao amini nadharia zao wote ni wapumbavu.
kifo hakina uhusiano na hizo nadharia zenu za kipumbavu bali kifo ni asili ya kiumbe chochote kilicho hai na ni razima kuna siku kitakufa.
Lakini pia mm sikuwahi kumsikia Membe akikejeli kifo cha jiwe pamoja na tofauti zao.
We nawe hujui kuna dawa za kufanya nywele ziwe nyeusi?? Hyo mimvi yenu kupenda tuuHana hata mvi
Nape tayari kivipi!??Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Tena mwendazake wao wala hajatangazwa kitaifa, yaan katangazwa mitandaoni tyuuh.Kunya anye kuku akinya bata kaharisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzoga km mzoga unakutesaaaa??? Rahaa ya kukanda na wewe ukandweee kaa kwa kutulia maneno ya dhihaka mliyaanza wenyewe subirini sindano ziwaingie kwa umivu lile lile.
Mbona aliyemwangusha mstaafu bado anadunda.Kwa ninavyowajuwa Wamakonde kama kuna mkono wa mtu basi kabla ya Arobaini ya Membe lazima chuma kiitike.
Tunza hii comment.
Unakosea sana kusema tulimdanganya. Una uhakika kuwa kuna watu walimdanganya na miongoni ni mimi. Ebu jaribu kuheshimu watu hata km huna adabu kwa wazazi wako. Tumia kauli za utu uzima na kistaarabu unapochangia hoja siyo Kila aliyemo humu ni mhuni. Tafadhali sn.Mlimdanganya, Maneno maneno tu iwe b9 [emoji23], hivi b9 mnazijua kweli ? Hizo ni million elfu 9
Alipataje kazi TISSMiaka 22 tayari ana ajira TISS si mchezo
Yule jamaa yetu aliyetuhumiwa kupata ajali na mtoto wa udom!Yupi huyo mkuu
CCM akifurahia kifo cha mwana CCM mwenzaoMungu fundi
Wataisha π πConfirmed, CCM wanaondoshana wenyewe
Mbona vyanzo vya habari ni wachoyo sana na kushindwa kuinyambua habari ikashiba?Taarifa za hivi punde zinasema Benard Memba aliyewahi kua Waziri wa Mambo ya nje amefariki Dunia katika hospital ya Kairuki alipopelekwa baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi.
Souce: ITV
Mwombee wewe, usitujumuishe na takataka yako.Huyu ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii, aliyeweza kuongea ukweli juu ya uvunjifu wa haki za waTanzania uliofanywa na Serikali ya magufuli, huna ubaya mtu mwenye msimamo, tunakuombea