TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
yule alikuwa ibilisi, watanzania wanateseka mpaka leo kwasababu ya yule mwovu, wasomi wanadhalilika mitaani kwasababu ya yule shetani. Membe amewakosea nini watanzania? Hajawahi kuwa na cheo cha yule mfu wenu. Mtaweweseka sana ndio ameshakufa na hawezi kufufuka. Bila haya, mkombozi wetu, alikukomboa wapi we mpumbavu
Kama ibilisi wa ufipa
 
Kuwa nyuma ya keybord isikufanye unawehuka,kwako unamuona ivyo lakini nyuma yake ni wengi wanaomtegemea,mfano wewe baba yako mzazi anafariki halafu anatokea mtu unamsikia anasema mbele yako huo mzoga wa baba yako unauzika,utajisikia,heshimu mtu hata yule usiyemjua
Mbna JPM anadhihakiwa humu wazi wazi huwa hutoi hizo nasaha zako??

Tulishakubaliana hapa ukimpenda sana mwendazake wako mfuatee huko aliko ukaungane naye.

Kila mtu acheze na matanga yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.

Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Nape tayari kivipi!??
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzoga km mzoga unakutesaaaa??? Rahaa ya kukanda na wewe ukandweee kaa kwa kutulia maneno ya dhihaka mliyaanza wenyewe subirini sindano ziwaingie kwa umivu lile lile.
Tena mwendazake wao wala hajatangazwa kitaifa, yaan katangazwa mitandaoni tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kutesa kwa zamu.
 
Mlimdanganya, Maneno maneno tu iwe b9 [emoji23], hivi b9 mnazijua kweli ? Hizo ni million elfu 9
Unakosea sana kusema tulimdanganya. Una uhakika kuwa kuna watu walimdanganya na miongoni ni mimi. Ebu jaribu kuheshimu watu hata km huna adabu kwa wazazi wako. Tumia kauli za utu uzima na kistaarabu unapochangia hoja siyo Kila aliyemo humu ni mhuni. Tafadhali sn.
 
Taarifa za hivi punde zinasema Benard Memba aliyewahi kua Waziri wa Mambo ya nje amefariki Dunia katika hospital ya Kairuki alipopelekwa baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi.

Souce: ITV
Mbona vyanzo vya habari ni wachoyo sana na kushindwa kuinyambua habari ikashiba?

"kifuaa kifua!

Hauwezi kudistinguish hiko kifua?

Tb, pneumonia, Covid au nini?

Mwaona raha sana kutuacha na maswali sisi siyo?
 
decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate na hapa 9billion zimepotea
 
Back
Top Bottom