Mkuu naona umeamua kuunganisha nukta. Kwani Nape nini kimempata? Hebu fafanua vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni full kuserebukaa na kushangwekaaaa..
Jamani hakuna hata kavidiuuu ka mzoga akikata roho mara ya mwisho...hakuna mtu alichukuamo kavideo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1732][emoji1732]
 
Yaani nyie mliofurahi kipindi tunamzika Rais wetu Dr. Magufuli halafu Leo hii mnatuzuia kushangilia kifo cha ndugu yenu tunawashangaa sana.
Watuache tuu Kwa kweli , ndo njia waliyochagua wacha tuipite hyo hyo , kama Serikali ilikuwa kimya kipind kile tunahangaika kumpumzisha Mzee wetu kule Chato huku akidharirishwa Kwa dhihaka za kila namna na mpak sasa wanamnanga majukwaani na kwenye mabango , hivyo hvyo wakae Kwa kutulia wakat huu wapendwa wao wanaposhuka kaburini mmoja baada ya mwingine .... Na hatuendi msiban wakazike mizoga Yao huko huko wanakojua. 😁😁😁😁😁😁
 
Ubaya ni musiba hujui ety 9bln ya kumchafua na pesa hampati tunafurahia maneno ya nape na makamba decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate
Siyo deni kwa ivo linarithiwa.

Ni haki ya Marehemu ni lazima huyo Musiba alipe!!
 
Anyway, nasisi wengine tutafuata kama biblia inavyosema katika kitabu cha Mhubiri 9:5 kwamba walio hai wanajua watakufa, lakini wafu hawajui kitu chochote wala kumbukumbu zao zimesahaulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…