TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian Musiba.
Bernard Membe alikuwa na ukaribu mkubwa na Nape Nauye ndiyo maana alipoamua kusitaafu ubunge akamwachia Nape Jimbo la Mtama awe mbunge wao.

Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja ya waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe nae.
Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Lugha iliyotumika hapa inaashiria kabisa ni kwa kiwango gani umefurahishwa na kifo cha ndugu Membe! Binadamu kwa nini tunajisahau sana? Hapa tupo kwenye foleni. Huyu katangulia, kesho zamu yetu. Chuki ya nini?
 
Walijua wao ni binadamu kuliko sisi ngoja akili ziwakae sawa.
Watuache tuu Kwa kweli , ndo njia waliyochagua wacha tuipite hyo hyo , kama Serikali ilikuwa kimya kipind kile tunahangaika kumpumzisha Mzee wetu kule Chato huku akidharirishwa Kwa dhihaka za kila namna na mpak sasa wanamnanga majukwaani na kwenye mabango , hivyo hvyo wakae Kwa kutulia wakat huu wapendwa wao wanaposhuka kaburini mmoja baada ya mwingine .... Na hatuendi msiban wakazike mizoga Yao huko huko wanakojua. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Leo ni siku ya furaha sana team JPM tunagonga grass tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usilipize ubaya kwa ubaya ndugu yakupasa uwaombee wale wanaobehave kama wanyama kitu pekee kinachotutofautisha binadamu na wanyama ni uwezo wa kutambua mema na mabaya vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na punda.
 
Ndugu tunajaribu kujizuia lakini tukikumbuka waliyomnenea mpendwa wetu na maneno ya kejeri mpaka Leo bado wanayatoa aaah! Ngoja tuende na njia waliyochagua wenyewe.
Usilipize ubaya kwa ubaya ndugu yakupasa uwaombee wale wanaobehave kama wanyama kitu pekee kinachotutofautisha binadamu na wanyama ni uwezo wa kutambua mema na mabaya vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na punda.
 
Back
Top Bottom