Lugha iliyotumika hapa inaashiria kabisa ni kwa kiwango gani umefurahishwa na kifo cha ndugu Membe! Binadamu kwa nini tunajisahau sana? Hapa tupo kwenye foleni. Huyu katangulia, kesho zamu yetu. Chuki ya nini?
 
Walijua wao ni binadamu kuliko sisi ngoja akili ziwakae sawa.
 
Usilipize ubaya kwa ubaya ndugu yakupasa uwaombee wale wanaobehave kama wanyama kitu pekee kinachotutofautisha binadamu na wanyama ni uwezo wa kutambua mema na mabaya vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na punda.
 
Ndugu tunajaribu kujizuia lakini tukikumbuka waliyomnenea mpendwa wetu na maneno ya kejeri mpaka Leo bado wanayatoa aaah! Ngoja tuende na njia waliyochagua wenyewe.
Usilipize ubaya kwa ubaya ndugu yakupasa uwaombee wale wanaobehave kama wanyama kitu pekee kinachotutofautisha binadamu na wanyama ni uwezo wa kutambua mema na mabaya vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na punda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…