dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Death is a necessary end na kila kilicho hai kitaonja mauti. Kifo ndicho kitu pekee ambacho kila aliye hai ana hakika nacho.Makamba alinukuliwa hivi karibuni akijinasibu eti wema huwa hawafi kwa nia njema kabisa ni bora aombe msamaha kwa kauli ile ya kifedhuri na iliyokuwa imejaa masimango kwa familia moja iliyokuwa imempoteza mpendwa wao.
Leo naona anashuhudia mmoja wa waliopata kutoa kauli tata kama yake baada ya kifo cha JPM anavyonangwa bila kujali kama kafa!
Nape naye alipata kutoa kauli tata ya eti Mungu aliamua ugomvi.
Jamani, kauli zenu hizo ziombeeni msamaha kabla umauti haujawakuta ili mkwepe cheko kama analochekwa mwendazake BM.
Mungu fundi.
Kwa Wabena uchawi wa Tego hupukutisha ama familia au ukoo mzima bwasheejohnthebaptist Tego huwa lina sifa zipi?
Maana mwezi uliopita kuna mwili wa binti ulisusiwa na wana ukoo kuuzika wakidai ana Tego, nilitaka kujitosa mimi ili kuuchukua mwili wa marehemu nikatamani nipate japo wana ukoo hata watu au wanne ili tubembe gharama za mazishi, lkn tulipingwa mkwara hatari na wana ukoo, mwisho wa siku nikawa mimi na mama mdogo tu na yeye ni mama wa nyumbani, ikabidi tuache ila niliumia sana mwana ukoo kuzikwa na Serikali kisa ana Tego.
Je Tego ni kitu gani hasa na je ni kitu halisi au ni woga kwa watu wasio na imani katika Mungu wa mbinguni tu?
Poleni sana,Mkuu, kwa msiba huu mkubwa. Mungu awape wepesi kuukabili msiba mzito wa kuondokewa na Mtanzania mwenzetu B.C. Membe (RIP). Amen.Nasema "umri wa passport" coz' Ben kasoma darasa moja na baba yangu mkubwa, and he's 77 NOW.
Answer:A decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate.
Hivi mjomba ako, aukose urais, asakamwe na ile v8 ilishajichokea, harafu ajiendee zake; mliobaki mziache bilioni za chee.Ugomvi wa Membe na Musiba uliamuliwa na mahakama kilichobaki ni hukumu kutekelezwa, kama mrithi wa Membe hatosamehe inamana Musiba lazima alipe
Huku ni kuchanganya mambo...Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian Musiba.
Bernard Membe alikuwa na ukaribu mkubwa na Nape Nauye ndiyo maana alipoamua kusitaafu ubunge akamwachia Nape Jimbo la Mtama awe mbunge wao.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja ya waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe nae.
Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Mkuu naomba link ya post hio
Kwiii kwiii kwiii akifufuka pale pochwari atapigwa rungu moja akufweee tena, hzo bilioni atazisikia makaburini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko aliko ana haha balaaa, nusu atake kufufuka ashuhudie 9bn kutoka kwa cyprian.
Woiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii.Kwiii kwiii kwiii akifufuka pale pochwari atapigwa rungu moja akufweee tena, hzo bilioni atazisikia makaburini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukwel unakemewa tena?Halafu awakumkemea kabisa
Sa hivi kagusa yeye halaf kanuuuka mbayaaa yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niguse ninuke
Duuuuh hivi uchawi huu upo kweli?Kwa Wabena uchawi wa Tego hupukutisha ama familia au ukoo mzima bwashee
Sasa usiombe Tego likafanywa kwenye mkungu wa Ndizi hapo hadi marafiki wa karibu watafikiwa kulingana na Idadi ya ndizi
Mbena akifa ni lazima wajiulize kwa mganga Kabla ya maziko ilu kama ni Tego liteguliwe!