TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian Musiba.
Bernard Membe alikuwa na ukaribu mkubwa na Nape Nauye ndiyo maana alipoamua kusitaafu ubunge akamwachia Nape Jimbo la Mtama awe mbunge wao.

Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja ya waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe nae.
Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Hata alivyokufa Nyerere kuna watu walishangilia binadamu ndivyo walivyo
 
Makamba alinukuliwa hivi karibuni akijinasibu eti wema huwa hawafi kwa nia njema kabisa ni bora aombe msamaha kwa kauli ile ya kifedhuri na iliyokuwa imejaa masimango kwa familia moja iliyokuwa imempoteza mpendwa wao.

Leo naona anashuhudia mmoja wa waliopata kutoa kauli tata kama yake baada ya kifo cha JPM anavyonangwa bila kujali kama kafa!

Nape naye alipata kutoa kauli tata ya eti Mungu aliamua ugomvi.

Jamani, kauli zenu hizo ziombeeni msamaha kabla umauti haujawakuta ili mkwepe cheko kama analochekwa mwendazake BM.

Mungu fundi.
Hatimaye Chama cha Watu Wema Hawafi kimefikiwa!
 
Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!

Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.

Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?

Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!

Mungu fundi.
Kwan membe naye alifanya ukatili?
 
Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!

Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.

Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?

Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!

Mungu fundi.
Malipi kivipi, kwani kuna anaehusika kwa mwenzake??
Wote Mungu kawachukua mwenyewe.
 
Membe kafa kishujaa na kifo cha kawaida kama atakakufa binadam yeyote yule.
Tatizo ni pale unapoua kutesa, kuteka binadam wenzako wakati na wewe
Weka ushaidi wa nani alitesa watu. Weka ushaidi. Halafu utuambie nani alimtesa ULIMBOKA, Nani alimuua MWANGOSI, nani alimuua mfanyabiashara wa MAHENGE ! Nani nauliza
 
Cha kawaida, Chifu! Hakuna cha mkono wa mtu wala nini!!
Mkuu, unajua kabisa Mimi huwa nachukulia mabandiko yako kwa uzito mkubwa. Nakuamini kwa sababu nikama ulikuwa Karibu kiasi na familia ya Mzee Membe(RIP)- Mzee alisoma na Baba yako Mkubwa. Sema maadishi yako kwenye bandiko nilililonukuu hapa juu linanishutua kwa kumalizia sentensi zako na alama ya mshangao (!).
 
yule alikuwa ibilisi, watanzania wanateseka mpaka leo kwasababu ya yule mwovu, wasomi wanadhalilika mitaani kwasababu ya yule shetani. Membe amewakosea nini watanzania? Hajawahi kuwa na cheo cha yule mfu wenu. Mtaweweseka sana ndio ameshakufa na hawezi kufufuka. Bila haya, mkombozi wetu, alikukomboa wapi we mpumbavu

Mpumbavu ni wewe na Familia yako. Mbona umeumia sana?? Alikua anakupa hela ya kula??
 
Back
Top Bottom