Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian Musiba.
Bernard Membe alikuwa na ukaribu mkubwa na Nape Nauye ndiyo maana alipoamua kusitaafu ubunge akamwachia Nape Jimbo la Mtama awe mbunge wao.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja ya waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe nae.
Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.