TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Kifo kipo,sijawahi leta habari ya uongo hapa.
.
FB_IMG_1683880988352.jpg
IMG-20230512-WA0003.jpg
 
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.

Sasa yale mabilioni nani atayatusua.
RIP Camilius
 
Mafii kwishaaaaa habari yake nilimwambia musiba asiwe na wasiwasi hizi kenge za kifisadi zina muda mchache sana hapa duniani
 
R.I.P KACHERO MBOBEZI,

Najaribu kuwaza BM angeukwaa Uraisi Ile 2015 NDIO kusema Leo tungekua na TANZIA,
Tanzia ya kumpoteza Amir jeshi mkuu...au Kifo kinge be SKIPPED.....

Lowassa is still alive..na wengi wali mtabiria mzee lowassa kua hatoboi... wenyewe NDIO hawajatoboa....

Najaribu kuwaza..

2 Tim 4:7​

Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani Umeilinda

Pumzika Kwa amani,

R.I.P Mh. Benard Membe
Nimewaza sana kama wewe. Exactly the same.
 
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.

Tuendelee kuvumilia
 
Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!
Kibongobongo kesi ishaisha hivyo... hao walimwengu watazungumza na familia watawapa ahadi za hapa na pale na wakiendelea kumsumbua wataliwa vichwa wote...
 
Back
Top Bottom