TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Musiba anaishi kama digidigi? Haya ni maneno ya kujifariji tu.

Hivi kwa nguvu na mtandao alionao membe musiba hata akiishi kama digidigi anashindwa kupatikana? Musiba huyu ambae kila leo yupo hapo mwanza akilewa?
Duh! Anashindwa kupatikana kivipi? Kwani ulishawahi kusikia kuna order ya kukamatwa kwake hadi useme "anashindwa kupatikana"?

Au ulisikia kuna mtu alikuwa anamsaka?!

Btw, kwanini awe Mwanza wakati shughuli zake zilikuwa Dar?!
 
Mbona ulifurahia kifo cha Magufuli hapo kijiweni kwako na baadhi ya marafiki zako?!

Acha BM afe na tusilazimishane kusikitikia kifo chake.

BIBLE: AUAE KWA UPANGA NAYE HUULIWA KWA UPANGA.
Acheni kujitia moyo, Membe alikwishastaafu utumishi wa umma so impact ya vifo vyao ni tofauti kabisa. JPM alikua anaogopeka na hakuna aliyeweza mzuia kwa chochote ila Mungu tu.

so msitafute consolation kwa Membe kwamba ni karma he was done at the mainstream politics.

poleni sana
 
@Dr Maatola PhD, nadhani uelewa wako juu ya status ya huduma za afya kwa TANZANIA ni mdogo sana. Kwa sasa the best hospital ni za serikali tu, yaani huwezi linganisha Muhimbili na Aga Khan wala Kairuki. Pia Maswali yangu yanalenga kujua kwa nini kiongozi wa serikali tena mwandamizi apelekwe kihospitali kidogo kisichokuwa na hadhi badala ya Muhimbili au hiyo Mzena??? Je usalama wake huko inakuwaje? Kwa hiyo maswali yangu yanalenga hasa kwenye huduma za kiusalama kwa kiongozi maana Mzee Membe kalitumikia hili taifa kwa uzalendo wa hali ya juu, sisi kama rais wazalendo ni muhimu tukafahamishwa kwanini kiongozi wetu apelekwe kihospitali cha kawaida???
Mimi bado nakukatalia Kairuki siyo hospitali ndogo na Agha Khan ni best hospital, hizo zote zina VIP treatment.

Kwa kilichokuwa kinamsumbuwa siyo kitu threat, ila ndio hivyo siku zake zimefika, wengine wanafiaga usingizini majumbani mwao.

Fumbo la kifo linabaki kwa Mungu mwenyewe, Nyerere tulimpeleka London kabisa lakini hakutobowa, na bado Mkapa akanyooshewa kidole kwa kifo hicho, yani Waingereza wasigunduwe hujuma ila ndezi mmoja tu kavimbiwa magimbi anakwambia ni hujuma.

Kama ni utajili wa umbea, majungu na fitina sisi tunaongoza.
 
Kwa utumishi wake uliotukuka kwenye taifa hili BM, na serikali iko upande wao, imekuwaje kifo chake kitangazwe haraka haraka hivi?
Mtu amefariki sijui saa 12 saa 5 asubuhi taarifa zimeshazangaa nchini na kwingineko,

Je Born to Town hana mkono kweli kwenye hili ili aweke anayemtaka yeye 2025 kitini?
Born to town ndo nn mjomba?? Kwani lazima wote tuandike kiinglishi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom