Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
kufa ni sio faradhi ww acha upuuziKufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!
Ni mtu mjinga tu anayewaza kwamba kufa ni udhaifu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufa ni sio faradhi ww acha upuuziKufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!
Ni mtu mjinga tu anayewaza kwamba kufa ni udhaifu!!
Muulize zzkUmeandika nini??
Ukishakuwa CCM automatically wewe unakuwa adui wa taifa.Inawezekana kuwa hujui historia.
Suala la kufa lilianza tangu zama za Adam Na Eva.
Mtu akifa watu wakafurahi huwa hawafurahii mtu huyo kufa bali wanafurahia mtu mbaya kuondoka kwenye jamii yao.
Membe hakuna mtu aliyemtendea ubaya!!
Au wewe unaweza kuutaja ubaya wa Membe kwa watu!!??
Yeye na napeYeye mwenyewe alishangilia mwache viboko ya Mungu vimushughulikie!
Ana bahati tu kwa sababu ya matumizi ya ARV; vinginevyo na yeye ingesomaNape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Kwaiyo ni mzuri au?.Kuna mahali pamesemwa kuna mtu hatakufa bali ataishi milele?
Membe hana baya na watu!!
Kufa siyo Sunnah ni Faradhi!kufa ni sio faradhi ww acha upuuzi
Hii iwe fundisho kwa nape makamba na mwigulu nchembaTumefika hapa kwasababu wapo wajuaji waliogoma kusahau yaliyopita, wayaache yaende, hawa wakajiona wamekaa juu wamefika, wao kila siku ikawa ni kumuimba marehemu mtangulizi, wasikumbuke nae alikuwa na wapendwa wake, wakajisahau wakidhani kifo kina undugu au urafiki, leo kifo kimewakumbusha hakina mwenyewe, sote tunapita.
Sio wakati wa kulaumiana tena, maisha ni fumbo, tujifunze kuyaacha yaliyopita yapite, lakini sio kujisahau na kujipachika majina ya ajabu kama wazuri hawafi au Mungu fundi, leo majina hayo hayo yanarudishwa upande wa pili, ni vyema wahusika wakayapokea kwa mikono miwili kama walivyoanza kuwapa wenzao, time to feel a taste of your own medicine.
amelala yooooooooooJASUSI MBOBEZI.
Mhh ulitaka amsamehe mpk musiba HV una akili kweli11.Ni mtu dhaifu sana asiyeweza hata kusamehe siyo Musiba tu.
Kabla ya Musiba alikuwa na maadui 11 ambao aliwahi kuitangazia dunia mwaka 2016 kupitia Dakika 45-ITV kwamba akiukwaa urais 2020 wanatakiwa kwenda uhamishoni.
Yaani alikuwa na uhakika toka 2016 hadi 2020 watakuwa bado adui zake tu.
Haishangazi aina ya kifo chake,kama hakuwa na presha basi tatizo la Moyo kwa kuhifadhi chuki na uhasama usioisha.
Hakuna kumbukumbu ya Membe kutesa watu kwa furaha ya nafsi yake au kwa kupata sifa toka kwa watu wasio na utu.Kwaiyo ni mzuri au?.
Na wewe jiandae kutwaliwa maana ulishangilia!
Kwanza kachero gani anajifia kizembe namna hiyo?
Mungu ameamua ugomvi!
Mungu fundi.
shangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😁Mleta bandiko mbona Kwa Magu hukusema haya?
Wewe unaweza kuzuia hasira za Volcano!!?Mleta bandiko mbona Kwa Magu hukusema haya?
Kwani musiba anakazi ganiMusiba hata huko mahakamani hutamuona. Hili wengi hamtaki kujiuliza kwa Nini
Ingekua mtu mwingine wa kawaida leo hii musiba angekua anatumia kifungo kwa kudharau mahakama, maana walimuita mara nyingi akakataa na hakuna kitu wamemfanya
Membe hakuwahi kuwa adui wa MagufuliKama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!