TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Ujumbe toka ughaibuni sauti zilizovuja pole sana Nape,kinana na Makamba tukumbuke kifo kinachukua washamba na wa mjini kilichopo duniani tunapita tuache kibri cha madaraka jasusi mbobezi hakuweza kuing'amua hila ya israeli mtoa roho,itelejensi zote lakini hawakuwa na taarifa muda na saa.
Pole sana nape msiba ni wetu!
 
…. masela wanasema israel bado hajapiga penyewe eti wapo kwenye maombi wakikesha na kuswalo ili rope ikatike. Ila chuki kubwa mno. Nadhani wali underestimate kama ilivyokuwa kwenye kumuaga Dkt Magufuli walidhani anachukiwa wakadhani watu hawatajitokeza
 
Vyovyote vile bahari ilitulia kwa kutangulia dictator magufuli

Ebu wazia yule shetwan angekuwa hai mpaka Leo ingekuwane?
 
…. masela wanasema israel bado hajapiga penyewe eti wapo kwenye maombi wakikesha na kuswalo ili rope ikatike. Ila chuki kubwa mno. Nadhani wali underestimate kama ilivyokuwa kwenye kumuaga Dkt Magufuli walidhani anachukiwa wakadhani watu hawatajitokeza
Ni nani amewahi kukosa watu wa kumzika labda? Ni hivi dhalimu ni dhalimu tu hata mkidhani mna impact hiyo. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Wafanyabiashara wasinge goma,elfu kumi ingetosha milo mitatu kwa familia ya baba mama na watoto watatu na chenchi ingebaki .
Kipindi cha dhalimu ndio vitu vilipands bei, we huwezi kujua maana ulikuwa unaishi kwa mjomba.
 
Ni nani amewahi kukosa watu wa kumzika labda? Ni hivi dhalimu ni dhalimu tu hata mkidhani mna impact hiyo. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Siwezi kushabikia kifo cha Mh. Membe na siwezi kamwe kumdhihaki kama mnavyofanya enyi kundi la Dkt Samia na Dkt Kikwete. Mnachokifanya na ujinga sana. Najua umeandika kunidhihakia Dkt Magufuli ukijua nitakasirika namimi nimdhihaki Mh. Membe, hapana siwezi kabisa.
 
Ila mzee makamba anavyozeeka ndivyo anavyozidi kuwa na upungufu wa busara, hekima na akili kichwani!
ile lugha ilikuwa chafu na mbaya sana kwa mtu kama yeye! akumbuke kesho yake ipo!
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umeifanyia mengi nchi yetu, umetufunza mengi watanzania.

Hukuwahi kuisaliti nchi Wala wananchi kwa ajili ya tumbo lako.

Ulisimamia ukweli na kile ulichokiamini hata tone lako la mwisho.

Uliupinga ule udhalimu wa yule ibilisi hadharani, hukutumika hovyo, Toka ujana wako uliubeba uzalendo wa kitanzania begani mwako na umepumzika nao.

Kifo chako cha ghafla kimetushtua na kutuhuzunisha wengi.
Lala salama shujaa wetu tutakukumbuka daima.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom