Bernard Kamilius Membe niliyemfahamu, Taifa limepoteza mtu!

Tujisifa twa kuokoteza. Hamna kitu hapo. Hajafikia hata 1% ya shujaa wetu.
 
Msibani mtu anakuwepo masaa 24 ?!!!!

Hebu tuwe na utamaduni wa kusifia mazuri wafanyayo wengine.....
Ishia hapo hapo , na tunapoelekea mtakubali shoo, uzuri tunaeleka kubaki kizazi cha waliovurugwa mtatukubali, ngoja wazee wenu wanaowapa kiburi washushe mvi chini
 
Yaani mtu akiwa mteja wako tu akifa Taifa limepoteza mtu? Acheni huo ujinga. Membe hakuwa na ukubwa au mchango mkubwa wa taifa zaidi ya kuwa alikuwa tu kiongozi.
 
Mali za Membe karibu 95% ni za kiharamia,alistahili kufilisiwa,acha aende huko alikomtanguliza Magufuli
 
Mali za Membe karibu 95% ni za kiharamia,alistahili kufilisiwa,acha aende huko alikomtanguliza Magufuli
Ok, ila pia wengi ambao labda nao una waona wapo na unawakubali mali zao ina weza kuwa nazo ni hivyo hivyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…