Bernard Membe amewakosea nini watanzania? hadi iwe hivi?

Hali gani watu wameshugulishwa na maisha!! Unafikiri membe au magufuli watakuletea ugali nyumbani?
 
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube.

Swali langu kwa watanzania Membe aliwakosea nini hadi iwe hivi?
Nadhani ni kushindwa kutambua nafasi yake katika taifa. Alitumia mbinu nyingi kumuua Dkt Magufuli na alipofanikiwa alifanya sherehe. Na kauli ya Nape y Bahati imetulia na mara Mungu kaamua ugomvi ilidhihirisha kabisa Membe alihusika na kifo cha Dkt Magufuli. Angekuwa hajashiriki alipaswa kumkemea Nape, ila hakufanya hivyo badala yake akaendelea kumshitaki Musiba ambaye alitumiwa na deep state kuwa expose akina membe na uhaini wao badala ya wao kujua wamejulikana waache walijipa mamlaka na kuendelea na harakati hatimaye wakamuua Dkt Magufuli. Watanzania wanahasira sana tena sana juu ya kifo cha Dkt Magufuli na kebehi na dhihaka toka serikali ya Dkt Samia ya kushangilia na kuonesha wao walihusika kumuua.
 
Shujaa ndio alikufa kwa laana. Member kamkosea Nani?
Sisi tulishalia machozi yalishapungua mkuu. Sitaki kutumia maneno makali yenye kebehi na dhihaka, ila Dkt Magufuli tutamuenzi wewe subiri tu, very soon serikali itarejea kwenye mstari wa uzalendo na tena huyu huyu Dkt Samia mliyedhani ni mwenzenu ila yupo upande wa wazalendo na walinda maliasiri za nchi, atawamaliza choko wote ili nchi yetu iendelee na kila mtanzania afaidi matunda na utajiri wa nchi
 
Peleka ujinga wako huko
 
Alikufuru. Kumbe ilikuwa ni suala la muda. Walau mwenzie hata aliwaita viongozi wa dini..yeye hata wanawe kashindwa kuwaaga achilia mbali viongozi wa dini.
 
Ngoja nikusaidie kujibu Kama ifuatavyo

Alisema hivi "Kuna watu Ni wagonjwa" Ni raia wa kigeni" hayo mengine simalizi...

Mtanzania mwenzio unakana uraia wake kweli Ni haki??? Au yeye alizaliwa chini ya mti???
 
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube.

Swali langu kwa watanzania Membe aliwakosea nini hadi iwe hivi?
labda kama hujui hivyo ndivyo mbaya anavyolipwa na MUNGU. ni ngumu sana kuamini kwamba wapo watu wenye nyazifa kubwa ambao mabaya yao huwa yanazibwa na pazia la uovu.

hata kama atatoka mtu ambaye anamfaham vizur membe akaja kutaja mabaya yake kuna watu watamuona mpuuzi tu, kwasababu sisi watanzania tulizaliwa wajinga. alichokifanya wakati wenzake wanatangulia mbele za haki ndicho kinachomrudia.

mkuu tulia utaona mengi sana!
 
Kwann iwe ni membe tu ndie ambae angetakiwa kumkemea mheshimiwa kwa kauli ambayo ametoa na si mwingine
 

unajua kuongea tukipata watu kumi jf kama wewe nitamaliza bando
loote jf kukusoma point zako umenena maneno ya hekima, nawaomba wanafunzi na wafuasi wa chadema muondoke jf mnatuharibia mda
 
TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube.

Swali langu kwa watanzania Membe aliwakosea nini hadi iwe hivi?
Wivu kwa nafasi alizoshika.....
 
[emoji2956]
 
Siwezi shangilia kifo cha adui yangu angali sote ni watarajiwa..

Membe na JPM hawakufa wakiwa vijana,
Ambapo nyakati hizi vijana wanakufa kuliko hata wazee.

Ukijiuliza huyo Magu na Membe Wana kitu gani cha kupoteza?
Hakuna,ujana wameshaula ukaisha,bata wamekula kuliko kawaida,wameshika nyadhifa za juu kuliko tunaowachukia...
Maisha yako ni kuungaunga then unabeba chuki kwenye kifua chako kwa mtu ambaye ana mafanikio kukuzidi,ni ujinga, mbaya zaidi hata akupata kukujua na wala asingekujua.

Tunza afya,tafuta pesa acha ujinga.
Kila kifo ni alarm [emoji354] ya kutukumbusha zamu yetu iko karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…