Siwezi shangilia kifo cha adui yangu angali sote ni watarajiwa..
Membe na JPM hawakufa wakiwa vijana,
Ambapo nyakati hizi vijana wanakufa kuliko hata wazee.
Ukijiuliza huyo Magu na Membe Wana kitu gani cha kupoteza?
Hakuna,ujana wameshaula ukaisha,bata wamekula kuliko kawaida,wameshika nyadhifa za juu kuliko tunaowachukia...
Maisha yako ni kuungaunga then unabeba chuki kwenye kifua chako kwa mtu ambaye ana mafanikio kukuzidi,ni ujinga, mbaya zaidi hata akupata kukujua na wala asingekujua.
Tunza afya,tafuta pesa acha ujinga.
Kila kifo ni alarm [emoji354] ya kutukumbusha zamu yetu iko karibu.