Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

Membe kaongea vizuri sana. Pia ameonyesha “caliber“ flani hivi ambayo imekuwa missed.
 
"Kuna watu wameniuliza wewe hautakuwa kama yule,wa kwenda na kurudi? hapa mimi ndio nyumbani kwangu" Bernard Membe

ITV Tanzania

Kila nikiipitia CV ya Mzee Lowassa ambayo ni kubwa hata kuliko ya Membe lakini amesalimu Amri namshangaa huyu Mtu Mwepesi Kujitapa.
 
Kweli kabisa ccm chama dume , wagombea urais lazima watoke ccm.

Sawa sio tatizo, ni ngumu kumpata muumini wa dini ambae ajapita ukitristo or Islamic so ni ngumu kumpata kiongozi mwenye age zaid ya miaka 50 na awe ajapita ccm
 
Nini tofauti ya mwenyekiti wa chama na kiongozi wa chama ?
 
Siasa siasani
 
Goja tumwangalie asuuuze motima wake, kwakuwa matumaini ndio siraha katika mambo yote, goja azidi kujipa matumaini!! Lakini hakuna lolote hata asingepoteza huo muda

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kuna Mtu ambaye nina uhakika kuwa ' ameshauriwa ' vibaya na Kaingia cha ' Kike ' ni huyu Membe kwani ni ' Mwepesi ' hadi anatia Huruma.
 
Kumfananisha Membe na Lowasa/Sumaye/Nyalandu si sawa, Membe mfananishe na Maalim Seif maana wamefukuzwa uanachama ndani ya CCM kutokana na misimamo yao.

Kumfananisha Membe na Maalim Seif ni first class mistake. Membe alifukuzwa CCM kutokana na tamaa yake ya kutaka kuwa Rais pamoja na chama kuwa na tamaduni zao za siku nyingi (huu sio msimamo kama wa Maalim)
 
Twende na Link hii ili tujadili michakato yote majimboni kwa upana zaidi...
Karibuni.
🇹🇿MCHAKATO⚖️MAJIMBONI 2020🇹🇿
 
Yaani achana hata na Lowassa huko mbali

Mimi kila nikimuangalia A. Kinana kwa jinsi alikua well connected na ushawish wake ndani ya chama na amerudisha mpira golini

Nabaki nawahurumia tu "wafuasi" wa ACT kwasababu Zitto na Membe sio watakaopoteza hawa wawili wanajua wanachokifanya na wanajua kabisa hawana ubavu wa kushindana na Chuma.

Wanavuta muda tu watarudi " To kiss pope's ring"
 
Tatizo huyu Bwana Membe anajiona Nyangumi kuuuuumbe yeye ni Dagaaa tu, naaamini wafuasi wake hawamwambii ukweli ili waendelee kupiga mpunga wake. Ndugu yangu Membe Umaarufu wako unaishia hapo Chalinze na huko kwenu Lindi vinginevyo labda unachofanya ni Maigizo tu.
 
ACT wasidhani kwamba Membe atawapiga jeki wapate wabunge,wakijitahidi sana labda wabunge 4,kuhusu urais Membe asahau kabisa

Naona umeona Aibu tu Kuwachana ' Live ' Mkuu ni kwamba ACT-Wazalendo hawatopata hata Mbunge Mmoja na Membe ' ataangushwa ' vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…