Mafanikio 07
Member
- Jun 18, 2019
- 57
- 37
Bernard Morrison au Member?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
Hata kwenye kuongoza ni zero,hamna kitu hapo.Mtu angekuwa smart alitakiwa aplay Smart na angefanikiwa kubaki CCM wangestukia kachukua form na Magufuli. Hapo ndo ningemuona Genius. Yeye akawa anaplay kiboya boya mpaka kurecordiwa. He is zero brain hawezi kuanalyse mambo.Hatuchagui MC, tunachagua kiongozi
Sasa utamlinganisha Jiwe na Membe kwenye kuongea?
Jogoo hoyee!
Nitapiga mashangazi!
Serikali haina shamba!
Unataka kupanuliwa wapi?
Makamu wa raisi mweupe
Sisomeshi wazazi!
Nikupe mshahara, magari kisha umtangaze mpinzani kushinda?
Intapentipenteprenuwaship
Kama anayeongea hayo kaweza kuwa rais, ndo atashindwa Membe, mtu mwenye kutema point tupu kila akiongea?
Labda wewe unapenda mashamsham na siyo substance, kama unapenda substance basi Membe ni class ya juu sana kuliko Jiwe!
Huyu lazima atarudi CCM na by 2025 atachukua form kupitia CCM ili wapembuliwe kwenye mchakato.Huyu mtu ni mwanadiplomasia, hataki Siasa za mihemuko au uadui. Pamoja na kwamba amehama CCM, bado anaonyesha kuwa anakiheshimu chama chake cha zamani. Ikitokea pengine kura zake zisiweze kutosha 2020, kuna uwezekano by 2025 atakuwa amerudi tena kundini kwake. Niliwahi kusema hivi hivi kwa Sumaye na Lowassa, na ikatokea
Watu wamekaa kwenye system ya nchi tangu wakiwa watoto sasa hivi ni wazee wana mvi, wanaelewa mengi, siyo kama sisi ambao wengi wetu tunaona siasa tu. Approach ya kisisaa ya huyu bwana ni ya kistaarabu sana, nimeipenda muno. Sijawahi kuona mwanasiasa jukwaani, akiwa katika hali ya ustaarabu kama anavyofanya Membe
Hata kwenye kuongoza ni zero,hamna kitu hapo.Mtu angekuwa smart alitakiwa aplay Smart na angefanikiwa kubaki CCM wangestukia kachukua form na Magufuli. Hapo ndo ningemuona Genius. Yeye akawa anaplay kiboya boya mpaka kurecordiwa. He is zero brain hawezi kuanalyse mambo.
Hata kelele za ‘twende na Membe’ zimezima sasa.
Unaweza ukawa uko sahihi. Mimi huyu bwana namkubali sana ila nilikuwa sikubaliana naye kwenye hoja ya kum-intercept mwenzake kwenye kipindi chake cha pili. Akifanya hivyo 2025 lazima anachukua, tena kirahisi sana!Huyu lazima atarudi CCM na by 2025 atachukua form kupitia CCM ili wapembuliwe kwenye mchakato.
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
Zii...Kampeni ya Membe inaendaje? 🤣
He ain’t doin’ shit.The guy is acting behind the scenes, according to certain sources!
He ain’t doin’ shit.
He is way overrated.
Hawakujua yote hayo kabla...?..chama chake ni kichanga.
..pia hawana fedha za kampeni.
..bila organization na fedha huwezi kufanya kampeni za Uraisi.
Wewe jamaa ni mpumbavu...chama chake ni kichanga.
..pia hawana fedha za kampeni.
..bila organization na fedha huwezi kufanya kampeni za Uraisi.
Bila Shaka amekula matapishi yake.Kwa hiyo Bw. Pasko unachokisema ni kwamba Tundu Lissu atakuwa disqualified eh?