Kule kahama kahutubia watoto na wabodaboda shinyanga haendi Tena nasikia anakimbilia tarimeWajumbe wabaya sana ,walimdanganya huyu mheshimiwa kuwa yeye ni lulu na WaTz wote wako nyuma yao,kumbe wajumbe walikuwa wanamlisha upepo tu,na sasa subiri huyu wa kila siku anayedanga na kusema ana makovu ya risasi mwili mzima kila siku,utadhani ndio leo tunasikia hiyo simulizi ya makovu,wakati ukifika debe ndilo litasema,na sitashangaa kusikia beti maarufu za kutoka Ufipa za kibwagizo cha ''Tumeibiwa,tumedhurumiwa, tanzania iwekewe vikwazo na kelele nyingi za debe tupu