Kule kahama kahutubia watoto na wabodaboda shinyanga haendi Tena nasikia anakimbilia tarimeWajumbe wabaya sana ,walimdanganya huyu mheshimiwa kuwa yeye ni lulu na WaTz wote wako nyuma yao,kumbe wajumbe walikuwa wanamlisha upepo tu,na sasa subiri huyu wa kila siku anayedanga na kusema ana makovu ya risasi mwili mzima kila siku,utadhani ndio leo tunasikia hiyo simulizi ya makovu,wakati ukifika debe ndilo litasema,na sitashangaa kusikia beti maarufu za kutoka Ufipa za kibwagizo cha ''Tumeibiwa,tumedhurumiwa, tanzania iwekewe vikwazo na kelele nyingi za debe tupu
Lakini ndoo kanyea vya kutosha hivyo hawezi kujaribu kuwa mjinga tenaHuyu kashinda kesi,na kuna uwezekano wa kugombea Urais tena Ivory coast.
Membe ni Lowasa aliyechangamka
Alishinda kwa kishindolakin
Lissu aenguliwe kwa sababu zipi? UVCCM na Tume yenu ya Uchaguzi iliyowekwa MFUKONI na Rais hamjambo kwa propaganda.Lissu akienguliwa heri mbowe, nyalandu au Zitto ,Membe hana mvuto kabisa
Hao ndio CCM Mkuu mchana bundi usiku popo... vuli tumbusi, kiangazi fisi!!! Jana twende na Membe, leo kalegea hana hoja!!!Before ilikuwa twende na Membe kachero mbobezi leo hana mvuto.
Hii dunia iache tu hata huyu wanamshabikia kwa kale kamsemo tu kuwa.....
Magufuli ukimtoa CCM hana uwezo wa kupambana hata na Abdul NondoLissu akienguliwa, huyo ndio mgombea.
Atabebwa na support ya chama.
Mbona Magufuli amepauka sana, lakini alishinda au kushindishwa?
Wewe ulikuwa wapi siku hiyo ?Mange Kimambi yalimkuta haya .... dada hatutakuangusha ... wengine wakatengeneza home made gas-mask ...siku ya siku barabara nyeupeeeeeee... wakarudi ooo tumeshinda wameandamana wao badala yetu .... 😂
... kwa post hii, lengo la mleta uzi Nyani Ngabu linaelekea kutimia! Wapelekee mgawanyiko miongoni mwao!Membe yuko vizuri sana
Na mkianza kumshambulia Mgombea wetu basi tutataka kila mtu ashinde mechi zake
Lissu hamfikii Membe kwa kuongea Issues zinazomgusa mwananchi
Kama mnataka ma MC basi kamchukueni MC pilipili ndo awe mgombea, Sisi tunakwenda na Membe!
... Nyani Ngabu kachochea tayari; naona fitna zimeanza! Kwa utaratibu huu, wapinzani sahauni kushika dola!Kama Chadema mnaanza kumshambulia mgombea wetu, basi nendeni na Lissu wenu mkashinde huo uchaguzi sisi tunasonga na Membe wetu tuje tuone!
Kwanza tunahitaji kujikita huku Tanzania bara, we have nothing to lose!
Zanzibar tuna uhakika wa kuingia serikalini ama kwa kushinda au kwa kuingia kwenye serikali ya umoja wa Kitaifa!
Kwa hiyo kila mtu ashinde mechi zake!
Membe tunamkubali, ni smart, anajua kujenga hoja, anajua siasa na yuko sober.
Tunakwenda na Membe!
Namjua huyu Nyani anavyopenda kuchochea....lakini kwenye uzi huu katoa maoni yenye tija.......kiukweli alichochagua Membe kuongea huko Zanzbar na Pemba hakiendani na mgombea uraisi wa chama kilicho na dira nzuri kama ACT......Hatahivyo, kampeni bado hazijaanza.....Nahisi chama chake kitamfunda... Nyani Ngabu kachochea tayari; naona fitna zimeanza! Kwa utaratibu huu, wapinzani sahauni kushika dola!
Namjua huyu Nyani anavyopenda kuchochea....lakini kwenye uzi huu katoa maoni yenye tija.......kiukweli alichochagua Membe kuongea huko Zanzbar na Pemba hakiendani na mgombea uraisi wa chama kilicho na dira nzuri kama ACT......Hatahivyo, kampeni bado hazijaanza.....Nahisi chama chake kitamfunda
aanze kutema madini.......
Sawa. Lakini si jambo kubwaKwani hutaki masheikh wanaoozea jela bila haki watoke? - Hilo kwako ni jambo dogo?
Au kwa kuwa ni Masheikh kwa hiyo you don't care, wangekuwa ni mapadri ungesema the same? au hujali tu kwa sababu hawa ni waislamu?
Hili la kuachia masheikh, Lissu mbona analizungumzia pia kwenye ziara zake za kutafuta wadhamini huko mikoani?
[emoji15][emoji15]Nilimuona juzi Zanzibar wakiwa na maalim,, Jamaa kalegea sana hadi anatia huruma
Huyu jamaa hata 2015 alikuwa anakuzwa Sana, Ila Hana sera zozote jukwaani. Sikushangazwa alivyo flop ZanzibarSawa. Lakini si jambo kubwa
hilo mgombea uraisi. Kwa uzoefu wake hadhira ya JF ilitegemea ajikite kwenye kero na issue kubwa za kisera....