Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

Mpaka October 28 mpasuko utakuwa umeidhinisha mgombea fulani kutangazwa kupita bila kupingwa!
 
Membe anakura nyingi za CCM kwa tunaoona mbele kuliko za ACT cause Kama shangazi ni ACT na anamuunga mkono Lissu hivyo Kuna wengine wapo ACT wanaunga mkono CHADEMA hivyo CCM tusishangilie hili la Membe.
 
Mbona hata sasa hivi wapo tu hapo Makao Makuu ya Saccos? Hukuona juzi walivyokuwa wanaraluana kwenye group lao?! Na bado kadri muda utavyokuwa unaendelea ndiyo tutasikia mengi sana! Keep watching!!
 
Hilo liko wazi mbona... Kazi ya kuibomoa ACT Wazalendo itakamilika baada ya uchaguzi!. 🤔
 
Mbona hata sasa hivi wapo tu hapo Makao Makuu ya Saccos? Hukuona juzi walivyokuwa wanaraluana kwenye group lao?! Na bado kadri muda utavyokuwa unaendelea ndiyo tutasikia mengi sana! Keep watching!!

Wapo wengi wala hilo halina ubishi, ila sio hao wa wazi kama Membe. Ule utoto wa majibizano ya kipuuzi kwenye group fake ndio unategemea mtamuuzia mtu? Kweli mna mbinu za kizee ile mbaya.
 
Lisu meseji Hiyo umeipata ? Inakuhusu wewe na Chadema wenzio
lissu na chama chake wanajua wanachokifanya , ACT wanajua wanachokifanya so membe hawezi kuwa juu ya tahasisi hata kama mwamuita nguli kwenye mambo flani , japo nayo ni fani tu kama zilivyo fani nyingine mfano upadri, jeshi, dr, walimu na kazi, namanisha hakuna jipya chini ya jua ni yaleyale katika utumishi tofauti na majukum tofauti, so ndo maana taifa lazima lijenge misingi ya kuheshimiana kwa maana wote twategemeana, asema bwana na imekua
 
Anajifanya mtaalam wa kuleta moshi !!
Safari hii utamkumba yeye na familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi wala hilo halina ubishi, ila sio hao wa wazi kama Membe. Ule utoto wa majibizano ya kipuuzi kwenye group fake ndio unategemea mtamuuzia mtu? Kweli mna mbinu za kizee ile mbaya.
Safi sana kama unaona ni fake lakini maboss wako wa saccos wanajua siyo fake. Hizo sms wanazo kwenye group lao na wanajua wameingiliwa!
 
Huyu jamaa asiporudisha majeshi CCM baada ya uchaguzi sijuiii! Walikuja kina Lowassa, Sumaye na wengineo wote walirudi chama cha mashetani, muda utaongea.

Atakayeiongoza hii nchi ni mpinzani OG sio wa kuhamia.
 
Dharau mbaya hiyo.Yaani akili yake inamtosha kuvuka barabara tu.!
Mtu anaesema yeye anamzidi nguli wa sheria Tundu Lisu. Mtu aliethibika bila shaka kuwa ni mwamba kwenye hiyo fani unaona ana akili za kumtosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…