Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!


Kula tano mwanangu, yaani kweli wapinzani turudie tena lile kosa la kibwege la kubeba taka ngumu toka ccm? Katika mambo ambayo hatutakaa turudie ni kuwapa tena hao wazee wa ccm nafasi ndani ya upinzani.

Kama Membe anataka kuingia upinzani, basi awe Mbeba briefcase za viongozi, na sio kupewa nafasi ya kugombea. Hilo zee lenyewe la ccm linategemea siasa za mbeleko ya vyombo vya dola, leo ndio tuliamini?
 

Ni kweli ccm inaweza kung'oka hilo halina mjadala, lakini sio kwa kuwatumia hao wazee wachovu wa ccm kama kina Membe.
 
Ni kweli ccm inaweza kung'oka hilo halina mjadala, lakini sio kwa kuwatumia hao wazee wachovu wa ccm kama kina Membe.

Tuna option nyingine nzuri ya Tundu Lissu, lakini tatizo inaonekana hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye chama chake juu ya hili jambo, Chadema inajivutavuta juu ya kumpa kamanda Lissu kupeperusha bendera.
 
Tuna option nyingine nzuri ya Tundu Lissu, lakini tatizo inaonekana hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwenye chama chake juu ya hili jambo, Chadema inajivutavuta juu ya kumpa kamanda Lissu kupeperusha bendera.

Sisi wapiga kura wa upinzani tunamtaka Lisu, cdm hata wasipompitisha bado watakayempitisha hawezi kuvuta hisia zetu. Ila bora kumpa yoyote huko cdm lakini asiwe Nyalandu, au Membe. Kwetu sisi chaguo letu halisi ni Tundu Lisu.
 
Sisi wapiga kura wa upinzani tunamtaka Lisu, cdm hata wasipompitisha bado watakayempitisha hawezi kuvuta hisia zetu. Ila bora kumpa yoyote huko cdm lakini asiwe Nyalandu, au Membe. Kwetu sisi chaguo letu halisi ni Tundu Lisu.

Lissu naye ni choice yangu pia
 
Membe nope my president is JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI I LOVE HIM JAMANI HUYU BABA NDIO MZURI SANA KWA TANZANIA WENGIN TUPA KULE HADI KIELEWEKE KWANZA HUYO MEMBE ANAJUA NINI??
 

Kuna watu mnawadanganya wenzenu. Kama BM anapoteza muda wake tu.
 
Mkuu Kimbora la Taifa, nafikiri umefika wakati wa kujiuliza tena swali lile lile ambalo yapata miaka mitano imepata kupita pale lilipoulizwa kwa mara ya kwanza na Mh. Slaa. Wakati huo lilipoulizwa lilikuwa likimlenga Mh. Lowassa, lkn kwa hivi sasa linaelekezwa kwa Mh. Membe

Kwa kuaminiwa na kufikiriwa kupata nafasi ya kugombea nafasi ya uraisi wa JMT kwa kupeperusha bendera ya vyama rafiki na vyenye kuaminika na umma wa Watanzania. Je! Jabali huyu ni "asset" ama "liability"?

Kabla hatujaanza kujielekeza ktk kutafuta jibu hilo, kwanza ni lazima tutambue mtizamo wa jumla wa "probable presidential candidate" huyu unatawaliwa na hisia na mihemuko mingi ndani yake. Hili ni suala linatawaliwa na mifungamamo ya kiitikadi za vyama zaidi, pengine kuliko 'personal traits attributed to the candidate himself"

It is plain reality that, the nature of perception for average Tanzanian is the kaleidoscope of generalisation of issues, misinformation, prejudices and paranoia. In that light therefore, you cannot expect wise decision from them when they are exposed to select best candidate rather than fake one. Many are exposed to seamlessly propaganda known to their limited, fanatical and simplistic minds, and they have competely distorted picture for real values and personalities.

Tumeshuhudia maendeleo ya vitu ambayo Mh. Magufuli kayafanya. Ndiyo! Huo ulikuwa ni wajibu wake wa kikatiba hata kama watangulizi wake hawakupata kufanya hivyo ama kutokupenda kusifiwa sana na wapambe wake. Watanzania wanahitaji maendeleo ya watu sambamba na ya vitu. Hili ndilo hitaji la sasa la Watanzania waliokuwa wengi. Na katika hili namuona Mh. Membe ni bonge la "asset".
 
The Issue Presenter you are very right on what you have analyzed but it is very unfortunately that very few people can have such level of understanding concerning that particular issue.

It is of more advantageous to receive/accepting Membe to join opposition party than disadvantageous!

People may refer from a case of Mamvi on previous/last election 2015.
 

Thank you nimependa analysis yako, imekaa kisomi sana.

Nimependa conclusion yako kuwa Membe ni Asset

Kiukweli kabisa ukimlinganisha Membe na Magufuli, Membe kamzidi mbali sana Magufuli kipawa cha Uongozi.

Magufuli akiwa waziri
1. Katutia hasara kwa kuvunja mikataba ya barabara na wakandarasi tukashitakiwa na kulipa mahela mengi

2.Kasimamia vibaya uuzaji wa nyumba za serikali wakapata hata wasiostahiki

3. Kanunua kivuko kibovu

Akiwa Rais
1. Kanunua midege bila kuhusisha bunge, bila oversight hii ya bunge tutajuaje kuwa hakuna ufisadi?, Manunuzi ya Ndege kaweka kigingi kizito yasikaguliwe na CAG

2. Kajenga uwanja wa ndege kwao huko Chato, uwanja usio na tija yoyote kiuchumi

Ukiangalia rekodi ya utumishi wa Membe serikalini hajawahi hata mara moja kupewa shutuma ya kuitia nchi hasara ya fedha kwa namna yoyote ile, Hii inaonyesha kuwa ni mtu safi na akiwa raisi atakuwa ni bonge la rais!

Magufuli kashindwa hata kuyaweka sawa maslahi ya wafanyakazi wa umma tunafikiriaje kumpa miaka mingine mitano? , kama kuna mfanyakazi wa serikali anawaza kumpigia kura Magufuli basi akapimwe akili!.

2020 Twende na Membe!
 
Natambua na kuuthamini muda, hadhi, kujitoa kwa kipekee ktk kutaka kuilinda "icon of excellence" ya upinzani hapa nchini, kwa watu wa kariba yenye kuheshimika mno kwa watu kama Lissu, Zitto, Mbowe, Maalim Seif na wengine wa mfano wao.

Lakini kwa wao kukosa watu muhimu ndani ya mfumo wa kiitelejensia, yaani watu wa "kitengo" wa kariba ya Membe, ni lazima watakwama tena ktk uchaguzi huu wa 2020. Ni ukweli uliokuwa mchungu lkn ambao ni lazima uwekwe hadharani. Upinzani unamuhitaji sana Mh. Membe ktk uchaguzi wa mwaka huu zaidi ya yeye anavyowahitaji ili aweze kuanikiwa kufikia hamu ya ndoto zake ktk uongozi wa kitaifa.
 
Na wala hana uwezo wa kupambana kwa siasa za majukwaani.

Vyama vya upinzani sasa wana watu wengi wenye maono na uwezo wa kuongoza nchi tuwape nafasi.

Muda huu siyo wa kufanya siasa za zimamoto za kkuokoteza wagombea kutoka ccm.

Hawatatufikisha popote
 

Hata APPT MAENDELEO ni chama cha upinzani, aende huko. Au intelijensia yake ni lazima agombee urais tu? Uza ubongo huo boss maana unakaa nao kwa hasara. Kosa la Lowassa hatuna muda wa kulirudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…