Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!

Magu hapendwi na wananchi kwa kiwango unachodhani, ila umeaminishwa kuwa anapendwa na wananchi sana kwa sababu
1. Mosi, sauti huru na mbadala za kusikika, na kupata maoni ya wananchi zimeminywa. Hata TWAWEZA iliyokuwa ikikusnya tafiti za wananchi ilipata msukosuko mkubwa kwa kuleta tafiti inayoonyesha kuporomoka umaarufu wa kutisha ea Bwana Mkubwa.

2. Kuna propaganda kali ya kumpa promo bwana mkubwa, hii ni kuanzia kwa vyombo vya serikali na vingine vilivyoanzishwa kwa lengo hilo, na vyombo vingine visivyokwenda na beats vinanyang'anywa leseni (mfano Tanzania Daima), kwa hiyo ni vigumu kupata uhalisia wa msimamo wa wananchi

3. Vyama vya siasa vimezuiwa kufanya siasa zake smoothly, vinasumbuliwa sana, hata mikutano ya ndani nayo wanakuwa harrassed, CCM ndo pekee inayopewa mazingira mazuri ya kufanya siasa, Sasa kwa sasa usidhani eti huu ukimya wa wananchi ni ishara ya Wananchi kumkubali Magufuli. No hii ni wrong assesment

4. Uchaguzi wa serikali za mitaa ungetoa picha ya kukubalika Magufuli, lakini kwa hofu ya CCM kushindwa na pia kuwapa momentum wapinzani akaamua kuuvuruga na kuipa CCM ushindi wa 98%.

Nakueleza hivi:

1. Subiri kampeni za uchaguzi zianze ndo utajua kuwa watu hawana mpango na wala hawababaishwi na propaganda mfu za CCM.

2. CCM wanajua wakiweka level ground za kisiasa nchini, wakawapa wapinzani haki yao ya kufanya siasa kwa mujibu wa katiba, CCM wanapoteza mara moja tu

3. Magufuli kaharibu maisha ya watu, kwenye utawala wake vyuma vimekaza kupita kiasi, kaumiza watu wengi, wafanyakazi kawaminya maslahi yao, biashara nyingi za watu zimekufa

Hitimisho ni kwamba usione wananchi wamekaa kimya, wanaugulia maumivu, hawana pa kusemea baada ya huyu bwana kwa hofu yake kuparalyse demokrasia nchini, Ngoja uchaguzi uje ndo utajua kuwa hakubaliki kwa kiwango usichokitarajia
Kama kawaida yenu washabiki wa CDM Mkisoma kwenye mtandao mnafikiri ndio mnaisoma TanzaNia!!
Binafsi sikuona sababu ya kuhangaika na wapinzani, pamoja na na hoja zako hizo Wananchi wanampenda Magu, Mi naishi maisha yote nakuambia ukweli wala sio propaganda, Magu anapendwa na Wananchi.
 
Si vibaya ukiendelea kujiaminisha kama unavyoamini
Lakini ukweli ni kuwa don't misread ukimya wa watu mtaani kwa kukosekana shamrashamra za wazi kuonyesha kuunga mkono upinzani.

Subiri kampeni zianze utajua!
 
Kumbe unategemea mikusanyiko ya kampeni, dah brother kwani we mgeni nchi hii? Mikusanyiko ya kampeni ni burudani zile hamna chama.
 
The way things are going on in this part of the world, the horror of the dictatorial regime, we the people of Tanzania have no choice except to vote out president Magufuli in the forthcoming elections in october this year.

President Magufuli has squandered a good opportunity to build a nation rooted in the values of democracy, human rights and adherence to rule of law unlike his predecessors who themselves were not angels but played constructive roles in building up our democracy to respectable levels in Africa and the world at large.

In this regime, there has been gross human rights violations, people incarcerated with sham dubious charges and some charged to pay exorbitant sum of money to buy their freedoms on what is vividly clear, an extortion mafia like schemes.

Even people who dissapeared, whose wherebouts are up to this moment unknown, there isn't any enthusiasim from the regime to investigate their dissappearance. This leaves behind a lot of unanswered questions.

Meanwhile the economy is only growing on papers while in the streets life is extremely tough. The government is not employing in large scales compared to the former government. A lot of young people are in the streets, hopeless, stranded seeking jobs to a no avail. Life is continously becoming unbearable.

At the same time the external debt is skyrocketing, a lot of money is being borrowed to service these mega projects which some are typically white elephant. Some Projects such as building airport in Chato, a birth place of president Magufuli, an airport which by all standards is not a priority are of little value economically and consumes a lot of money.

Also the public service is not in good shape as this government hasn't paid attention whatsoever to the public servant. Since president Magufuli came into office, Public servants have their legally entitled benefits trumped on by this government. While in the former government there was an annual salary increments and normal year to year promotions. This is hurting workers today and it will hurt them when they retire.

That is when we rightly asses that this election is a do or die election. In this election there is nobody who is well prepared, who can defeat president Magufuli and who can clean up tje mess created by this regime than the renowned diplomat and a former spy Bernard Cammilius Membe.

Membe has served this nation with high Integrity, he is a proponent of rule of law and respect for the constitution and abbhors politics of "terror".

The first thing Membe has to do when he is sworn into office is to bring a national reconciliation process, healing wounds caused by president Magufuli's "hurt all that oppose me" politics.

Membe shall work on the issue of the economy, solve the unemployment problem, create a functioning economy that will put our youth to work!

Also Bernard Membe will bring back the new constitution process on track as we have witnessed in these five years how bad our 1977 constitution is!. With this constitution, it is more like we have put all our eggs in. one basket. There is too much power in the hands of one person, this is absolutely dangerous as if he skrews things he can skrew them to the detriment of the whole nation and he can't be held accountable as this constitution still protects him from being sued.

With Membe at the helm, our diplomacy will once again be a shining example in Africa. And he will be able to impement his vision of economic diplomacy which he instituted when he was a foreign minister in the former government.

So stakes are too high, we certainly can't afford five more years of the massive propaganda propelled regime. We need a man in the office who will do a job rightly, justly and with high level of Integrity.

Membe is a right man for the Job

2020 Membe for president
2020 Twende na Membe
The above notes look like dissertation material for an Under Graduate student in one of the newly registered Universities in Tanzania. The notes are full of non - supportive and unsubstantiated information as related to the subject. Can the writer tell JF members the way Comrade Membe used our "RADAR CHANGE" from UK? Further we are still puzzled on how funds from the then Government of Libya under Gaddafi was squandered by Team Membe! These issues need to be explained before we can consider him for any public office in 2020's without considering his past stories NOT HISTORY!
 
Undergraduate is still a milestone in Tanzania as far as education is concerned.
Thank you for the compliments.
 
Kumbe unategemea mikusanyiko ya kampeni, dah brother kwani we mgeni nchi hii? Mikusanyiko ya kampeni ni burudani zile hamna chama.

Wewe siasa unaona ni burudani wenzio wanaona ni maisha.
Ninazungumzia uhuru wa kuzungumza na kutoa maoni kwa uhuru na kuonyesha wazi uungaji mkono wa mtu fulani. Sizungumzii mikutano ya kucheza sebene la CCM
 
Hivi huko upinzani mna Zitto,Tundulisu kisha mnahangaika na Membe kiukweli muda mwingine upinzan huwa siwaelewi.Simamishen mgombea mmoja either Tundu Lissu au Zitto Kabwe muachane na hao wanaotoka CCM.
Upinzani utopolo mwingi. Tundu lissu au kabwe wanatosha Sana membe sijui wanamtaka wa nini
 
Apana tuzikurupuke, hebu tufuatilie historia kwa ungalifu. Tumesikia sana kuwa membe sio mtu mkweli na ana chembechembe za ufisadi.

Kama tunataka mabadiliko, basi tuwaangalie watu kama Zitto, Lissu kwenye upinzani, na pia tushawishi mabadiliko ndani ya CCM yenyewe, wako watu wengi wa maana sana.
 
ukipewa choice ya Nyarandu na Membe utamchagua nani?

Zitto hajajiandaa kisaikolojia kugombea, Lissu anafaa sana lakini pressure ya taasisi nyeti dhidi yake ni kubwa mno kiasi kwamba hatujui kama atahakikishiwa usalama akirudi nchini (Japo hili siyo hoja sana kama Lissu ataonyesha ujasiri uleule aliokwisha uonyesha)

Je kwa nini tumrule out Membe, mtu ambaye kasimama kuhesabiwa kipindi akiwa hata ndani ya CCM?
 
Hiki ndo anachokumbana nacho ndugu jasusi mbobevu almaarufu mzee wa niguse ninuke😀😀
kumbushodawson_20200905_154128_0.jpg
 
The way things are going on in this part of the world, the horror of the dictatorial regime, we the people of Tanzania have no choice except to vote out president Magufuli in the forthcoming elections in october this year.

President Magufuli has squandered a good opportunity to build a nation rooted in the values of democracy, human rights and adherence to rule of law unlike his predecessors who themselves were not angels but played constructive roles in building up our democracy to respectable levels in Africa and the world at large.

In this regime, there has been gross human rights violations, people incarcerated with sham dubious charges and some charged to pay exorbitant sum of money to buy their freedoms on what is vividly clear, an extortion mafia like schemes.

Even people who dissapeared, whose wherebouts are up to this moment unknown, there isn't any enthusiasim from the regime to investigate their dissappearance. This leaves behind a lot of unanswered questions.

Meanwhile the economy is only growing on papers while in the streets life is extremely tough. The government is not employing in large scales compared to the former government. A lot of young people are in the streets, hopeless, stranded seeking jobs to a no avail. Life is continously becoming unbearable.

At the same time the external debt is skyrocketing, a lot of money is being borrowed to service these mega projects which some are typically white elephant. Some Projects such as building airport in Chato, a birth place of president Magufuli, an airport which by all standards is not a priority are of little value economically and consumes a lot of money.

Also the public service is not in good shape as this government hasn't paid attention whatsoever to the public servant. Since president Magufuli came into office, Public servants have their legally entitled benefits trumped on by this government. While in the former government there was an annual salary increments and normal year to year promotions. This is hurting workers today and it will hurt them when they retire.

That is when we rightly asses that this election is a do or die election. In this election there is nobody who is well prepared, who can defeat president Magufuli and who can clean up tje mess created by this regime than the renowned diplomat and a former spy Bernard Cammilius Membe.

Membe has served this nation with high Integrity, he is a proponent of rule of law and respect for the constitution and abbhors politics of "terror".

The first thing Membe has to do when he is sworn into office is to bring a national reconciliation process, healing wounds caused by president Magufuli's "hurt all that oppose me" politics.

Membe shall work on the issue of the economy, solve the unemployment problem, create a functioning economy that will put our youth to work!

Also Bernard Membe will bring back the new constitution process on track as we have witnessed in these five years how bad our 1977 constitution is!. With this constitution, it is more like we have put all our eggs in. one basket. There is too much power in the hands of one person, this is absolutely dangerous as if he skrews things he can skrew them to the detriment of the whole nation and he can't be held accountable as this constitution still protects him from being sued.

With Membe at the helm, our diplomacy will once again be a shining example in Africa. And he will be able to impement his vision of economic diplomacy which he instituted when he was a foreign minister in the former government.

So stakes are too high, we certainly can't afford five more years of the massive propaganda propelled regime. We need a man in the office who will do a job rightly, justly and with high level of Integrity.

Membe is a right man for the Job

2020 Membe for president
2020 Twende na Membe
You should be banned for life!
 
Back
Top Bottom