Uchaguzi 2020 Bernard Membe is a real deal. Membe for president!

Karata zilijichanga tofauti, nyota ya Lissu ikameremeta zaidi, tukaenda na Lissu badala yake, lakini ukweli uko palepale ukiachilia mbali Lissu, Jiwe bado hana qualities za uongozi kumzidi hata Membe.

Tena ukweli unabaki palepale CCM wasingepora uchaguzi, Jiwe angegaragazwa vibaya sana!

Umafia walioufanya Zenji ni uleule walioufanya bara!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Missile, dhambi mliyomfanyia Membe Mungu atawalipa
 
You got the deal!
 
Where is your Member currently?
 
Wakat mwingine mwe mnatumia kiungo sahihi wakat wa kufikri , kura 12 mil Kwa 1 milion, hata kama ni wizi wa namna hyo kweli, gap la 11 milion ha ha , pote mawakala hawakuwepo? Bas tutumie simple equation vituo ambavyo mawakala wenu walikuwepo chukueni hayo matokeo myatumie kama sample jumlisheni alaf mtwambie Lissu aliongoza kura ama vip .... In short Tu wapiga kura waligeuka kuwa wajumbe waliochangamka Kwa Lissu
 
Kuna kura zilizohesabiwa au wameandika kwenye makaratasi tu namba yao ya mfukoni?

Sheria inasema matokeo yajumlishwe na yabandikwe vituoni, ni vituo vingapi vilibandika matokeo ya kura za urais? .

Wewe inaelekea una imani kubwa na matokeo ya uchaguzi huu kiasi kwamba unaamini pia kuwa Maalim Seif alipata below 20% huko Zanzibar. 😁😁
 
Kweli BM is a real deal. Kama sikosei yuko Londo anajipanga kwa 2050
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…