Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu watakuja watie huruma sanaView attachment 1495154this is CCM siku moja mtapiga magoti kwa wananchi
Umeusoma uzi lakiniMleteni tu ila baada ya Uchaguzi msimtelekeze
Membe ndiyo liability kwenye upinzani.Kafanya Nini la kipekee tangu awe kiongozi?
Kumbe na wewe ni shabiki tu wa wanasiasa?
Sikulitegemea hili kutoka kwako aisee
Hili bandiko siyo la upinzani ni la mchumia tumbo mmoja.Hivi huko upinzani mna Zitto,Tundulisu kisha mnahangaika na Membe kiukweli muda mwingine upinzan huwa siwaelewi.Simamishen mgombea mmoja either Tundu Lissu au Zitto Kabwe muachane na hao wanaotoka CCM.
Hivi nyie ni nani mnaozungumza as if mna hati miliki ya nchi? Au mumevimbewa?Vumilia maumivu tu kamanda! tunajua jinsi JPM alivyovuruga dili nyingi za kifisadi na wauza madawa ya kulevya.
huyo unayepoteza muda kumuandika hawezi kuwa RAIS wa TZ not this year and not ever!
Kuamini kuwa Membe anaweza kuwa rais wa nchi tena kupitia upinzani ni matumizi mabaya ya akili.Kila mtu ana haki ya kuhamini anachotaka, ila kama una akili timamu huwezi kuamini upuuzi.
Membe anaweza kuwa rais lakini syo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Membe hana followers wengi kama aliokuwa nao Lowassa ambapo CCM ilikuwa na mtikisiko wakati huo. Leo hii Membe ni kelele na frustrations za kuukosa urais tu, hana wafuasi wa kuidhoofisha CCM kabisa, labda wafuasi wa Dar es salaama tu, lakini huko vijijini kwenye 90% ya wapiga kura hakuna anayemjua Membe.It is never done until it was done
Obama, Trump, Mkapa na hata Magufuli ni watu ambao nobody ever thought wangeweza kuwa marais but it happened au siyo?
Sasa Membe also has chances to be president. Kama unadhani haiwezekani basi endelea kutoamini
Mimi siyo muumini wa siasa za kipumbavu za awamu ya tano, lakini pia siyo mjinga kiwango cha kudanganyika na makelele ya Membe tu.Siyo shabiki, naunga mkono ninayedhani anafaa kuwa raisi bora.
Kwani wewe umeridhika na siasa za watu wasiojulikana katika awamu hii?
Makamanda mpeni Membe ridhaa ya kupeperusha bendera. Kizungu cha ugoko hakitasaidia sana....an annual salary increments...
We are giving Jiwe matching orders inadvance. He should leave the office at once and ASAP. Membe MUST be president at all cost come morning comes eventing come rain comes sunshine for the betterness of national importance....
Someone who steal condolences money without shame and impunity concidering his high status is more than a thugLol crocodile's tears....
Its so shocking to compare a really zealout son of Tanzania Magufuli and hooliganism.....
It's high time now to change our childish mentalities for the future of our nation which is secured and safe on the hands of our beloved president!!!
Whom's condolences moneySomeone who steal condolences money without shame and impunity concidering his high status is more than a thug
Followers wengi wa Membe wako wapi? Kwanini mnamdanganya huyu Mzee? Hammwachi apumzike alee wajukuu?Membe anaweza kuwa rais lakini syo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Membe hana followers wengi kama aliokuwa nao Lowassa ambapo CCM ilikuwa na mtikisiko wakati huo. Leo hii Membe ni kelele na frustrations za kuukosa urais tu, hana wafuasi wa kuidhoofisha CCM kabisa, labda wafuasi wa Dar es salaama tu, lakini huko vijijini kwenye 90% ya wapiga kura hakuna anayemjua Membe...
Umeongea vice versa, anapingwa na kikundi kidogo ndani ya CCM, nje ya CCM Mzee Baba wanamuelewa sana.Ila wapinzani wangejaribu tena kumsimamisha mgombea mmoja kama mwaka 2015. Unajua huyu mzee baba anakubalika ila na kikundi kidogo ambacho kipo CCM. wananchi wengi wengi hadi sasa wamevurugika hawaelewi sema ndio vile wafanyaje...