Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Unajidanganya.
Kuna warundi wasio wakatili kabisa na wanaumizwa sana na ukatili wa warundi wenzao chini ya Kagame, pia kuna Watanzania wengi wakatili zaidi ya Kagame au Iddi Amin. Sisi sio binadamu "special".
Mwendakuzimu ni Mrundi fact, hilo wala halina ubishi, hakuna Mtanzania katili wa vile.
 
Yule aliyedaiwa hana akili sawa sawa, aliyejirekodi akicheza muziki peke yake I nani huyo..... Polepole au Musiba?
 
wafanyakazi wa hiyo TISS ni binadamu pia
Baada ya jeshi letu JWTZ, TISS iikuwa inaheshimika sana maana ilikuwa ya proffessionals.
TISS walikuwa watu wenye akili katika data collection,analytics, espionage, operations pamoja na utawala na missions, visions zao zilikuwa clear.
Come mwendazake, kaingiza watu wasio na uelewa wala ujuzi wa kazi. Vijana wana flash vitambulisho kwa majidai-openly removing cover.
Watu ndani ya TISS wanatumika kwa visasi vya kisiasa.
Lakini wale original members tunajua walikuwa wakisononeka moyoni lakini wafanyeje!
 
Kwa kuwa alishawaikuwa mwandamizi ndani ya GOV na kwa nyazifa mbalimbali alizopitia alitakiwa kuhakikisha kuwa angalau hilo halitokei.
 
Hizo ni kashfa za kisiasa, hata baba wa taifa walisema ni Mrundi.
 
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono babu.

Umeongea ukweli mtupu juu ya hiyo idara yetu nyeti.

Ila bado hatujachelewa sana tumuombe mama aifanyie overhaul ya kutosha labda ethics ya idara itazingatiwa.
 
Ukitaka kujua membe ni mpumbavu anamuona Mabufuli sio mtanzania huku anajidai wakati wa fisadi kikwete ku.ikuwa na vetting me kuhusu katibu mkuu wake Kinana na usomali wake!?
Angetuambia kwanini alisitisha kampeni!
 
Hivi kuna ufisadi uliowahi kufanyika zaidi ta uliofanyika kwenye awamu y a 5?
 
Awamu ya nne ingekua makini katika Vetting Magufuli na Dk. Mpango wasingefika walipofika...

Afterall Tanzania ni kama marekani tu ni ardhi ya wahamiaji.
Na awamu iliyotangulia wangekuwa makini kwenye vetting Kikwete asingekuwa rais. Unakumbuka walivyoiteka nchi kwa fedha yeye na Lowassa kipindi hicho? Tatizo la vetting limeanza kuwa kubwa tangu kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…