Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Unajidanganya.
Kuna warundi wasio wakatili kabisa na wanaumizwa sana na ukatili wa warundi wenzao chini ya Kagame, pia kuna Watanzania wengi wakatili zaidi ya Kagame au Iddi Amin. Sisi sio binadamu "special".
Mwendakuzimu ni Mrundi fact, hilo wala halina ubishi, hakuna Mtanzania katili wa vile.
 
Yule aliyedaiwa hana akili sawa sawa, aliyejirekodi akicheza muziki peke yake I nani huyo..... Polepole au Musiba?
 
wafanyakazi wa hiyo TISS ni binadamu pia
Baada ya jeshi letu JWTZ, TISS iikuwa inaheshimika sana maana ilikuwa ya proffessionals.
TISS walikuwa watu wenye akili katika data collection,analytics, espionage, operations pamoja na utawala na missions, visions zao zilikuwa clear.
Come mwendazake, kaingiza watu wasio na uelewa wala ujuzi wa kazi. Vijana wana flash vitambulisho kwa majidai-openly removing cover.
Watu ndani ya TISS wanatumika kwa visasi vya kisiasa.
Lakini wale original members tunajua walikuwa wakisononeka moyoni lakini wafanyeje!
 
Kwa kuwa alishawaikuwa mwandamizi ndani ya GOV na kwa nyazifa mbalimbali alizopitia alitakiwa kuhakikisha kuwa angalau hilo halitokei.
 
Hizo ni kashfa za kisiasa, hata baba wa taifa walisema ni Mrundi.
 
Baada ya jeshi letu JWTZ, TISS iikuwa inaheshimika sana maana ilikuwa ya proffessionals.
TISS walikuwa watu wenye akili katika data collection,analytics, espionage, operations pamoja na utawala na missions, visions zao zilikuwa clear.
Come mwendazake, kaingiza watu wasio na uelewa wala ujuzi wa kazi. Vijana wana flash vitambulisho kwa majidai-openly removing cover.
Watu ndani ya TISS wanatumika kwa visasi vya kisiasa.
Lakini wale original members tunajua walikuwa wakisononeka moyoni lakini wafanyeje!
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono babu.

Umeongea ukweli mtupu juu ya hiyo idara yetu nyeti.

Ila bado hatujachelewa sana tumuombe mama aifanyie overhaul ya kutosha labda ethics ya idara itazingatiwa.
 
Ukitaka kujua membe ni mpumbavu anamuona Mabufuli sio mtanzania huku anajidai wakati wa fisadi kikwete ku.ikuwa na vetting me kuhusu katibu mkuu wake Kinana na usomali wake!?
Angetuambia kwanini alisitisha kampeni!
 
Ndicho Membe anachojaribu ku portray wakati TISS wanaojiita wabobezi Kama yeye walitaka nchi iporwe na mafisadi na vibaraka wa wezi wa nje

Shukrani Sana kwa Mkuu wa TISS Kipilimba alijitahidi mno nchi isiporwe na mafisadi au maajenti wa mafisadi wa upinzani wa UKAWA .Nchi isingeweza kurudi kwa watanzania majority bila mtutu wa Bunduki Kama 2015 wangeshika CCM mafisadi au wangeshika Chadema au CUF

Nchi Ingetumbukia mikononi mwa foreigners Wala keki ya nchi peke yao na proxy wao

TISS asanteni kwa kazi nzuri mlifanyia 2015 Mungu atawalipa sababu history ya Tanzania ingebadilika completely na hata mama Samia leo asingekuwa Raisi sababu CCM Ingekuwa ilipigwa chini uchaguzi huyu mama umakamu wa Raisi angeusikia kwenye radio na CCM Ingekuwa out of power

Sawa mwaweza laumiwa kuwa hamukuingiza waroho wao hao wanaojiita TISS wabobezi akina Membe but you saved the nation mkawezesha Hadi leo CCM kuwa madarakani wakati vyama kibao vilivyoleta Uhuru Afrika vilishatupwa nje na mkawezesha Mama Samia kuwa Raisi na Nchi kuendelea kuwa na amani.God bless you
Hivi kuna ufisadi uliowahi kufanyika zaidi ta uliofanyika kwenye awamu y a 5?
 
Awamu ya nne ingekua makini katika Vetting Magufuli na Dk. Mpango wasingefika walipofika...

Afterall Tanzania ni kama marekani tu ni ardhi ya wahamiaji.
Na awamu iliyotangulia wangekuwa makini kwenye vetting Kikwete asingekuwa rais. Unakumbuka walivyoiteka nchi kwa fedha yeye na Lowassa kipindi hicho? Tatizo la vetting limeanza kuwa kubwa tangu kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom