Apambane Lissu awe rais mambo yake yakae vizuriMembe ana hali ngumu mno kwani wamefunga A/c zake na A/c za watu wote wanaowaona wakiwasiliana nae hata kama siyo wanasiasa , hana pesa kabsa wamemfirisi, pengine ataongelea hilo au anataka kurejea CCM ili wamrejeshee prsa zake
Hahahahah! Sasa kachero gani huyo?Membe kaporwa pesa zake zote hana kitu A/c zake zote wamezifunga
Yeye yupo peke yake kabanwa na nguvu ya mtukufu tokea chatoHahahahah! Sasa kachero gani huyo?
Ni jambo jema!Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar...
Membe ana hali ngumu mno kwani wamefunga A/c zake na A/c za watu wote wanaowaona wakiwasiliana nae hata kama siyo wanasiasa , hana pesa kabsa wamemfirisi, pengine ataongelea hilo au anataka kurejea CCM ili wamrejeshee prsa zake
Hebu jisome mwenyewe vizuri hapo uone kama utajielewa.Membe kaamua kuhamisha pesa zake zote toka Dubai canada kwenda kenya na Uganda kusiko na usumbufu wa pesa kuingia kutoka , akitaka pesa anapanda boti ziwa Victoria hadi Entebe Uganda anachukua pesa Bank anapanda boti anarudi mwanza na kwenda Dsm, maisha ni magumu A/C zake zote za DSM wamezifunga
Natumai Lisu yupo JF yafaa alitizame hili la watu kufungiwa A/C kienyeji enyeji hata na wakuu wa wilaya tu
Wewe ni mnufaika wa blackmail huwezi kujua wala kuelewa chochote kinachandikwa juu ya mateso yenuHebu jisome mwenyewe vizuri hapo uone kama utajielewa.
Pesa zake zote zilizopo Tz wameziminya hana pa kupitia mpaka atoke nje kuchukua pesa na itabidi apite njia za vichochoroni kwani Airport watazichukua zoteMembe ndio nani ? duh muda unaenda spidi kweli tulishamsahau jasusi mbobezi, hakika atakuwa amemaliza kupiga kampeni, maana yeye kampeni anaipiga nyuma ya pazia, tutarajie kupata ratiba ya tafrija itakoyofanyika pale Hyatt Regency jioni baada ya ushindi 😀
aiseeehh asante Mkuu kwa news...Membe kaamua kuhamisha pesa zake zote toka Dubai canada kwenda kenya na Uganda kusiko na usumbufu wa pesa kuingia kutoka , akitaka pesa anapanda boti ziwa Victoria hadi Entebe Uganda anachukua pesa Bank anapanda boti anarudi mwanza na kwenda Dsm, maisha ni magumu A/C zake zote za DSM wamezifunga
Kampeni zake kafungulia Lindi na kafungia Lindi anasubiri kupigiwa kura tuHivi huyu bwana kampeni zake keshahitimisha?