digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hapo kwenye idadi kubwa ya wabunge waliomfuata naomba niwajue kwa anayewajua tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe hana ubavu wa kukataa hela za magufuli. Amechoka kimaisha na ananunulika kwa bei yeyote. Sio lazima ahaidiwe cheo, anaweza pewa hela kwa ajili ya kuvuruga mchakato wa upinzani kuchukua nchi.Nimetoka kusikiliza mahojiano ya mgombea urais wa JMT kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo muda mfupi uliopita kwenye kituo cha DW. Mtangazaji katupa maswali ambayo nilikuwa nikitamani sana siku moja kusikia BM mwenyewe akiyatolea ufafanuzi licha ya kusikia juu juu tu.
Moja kati ya swali ambalo kaulizwa ni kuhusu yeye kuhusishwa sana na ukachero na yawezekana kabisa akawa amepandikizwa na chama tawala ili kuuwa nguvu ya upinzani kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Bernard Kamillius Membe ameweka wazi kabisa kuwa, yeye ameamua mwenyewe kugombea na kuwania nafasi ya urais wa JMT wala sio pandikizi kama fikra za baadhi ya watu zinavyodai. "Kama ni kutumwa, unadhani nitakuwa nimetumwa na nani? Kwa lengo lipi? Au kwa kupata cheo kipi, ambacho kufumba na kufumbua unaweza kujikuta umetumbuliwa?", amesema Membe.
Mbali na hayo yote, Ndugu Bernard Kamillius Membe amesema kitendo cha yeye kuja ACT-Wazalendo ni kwa sababu ya kuchoshwa na mambo yalivyokuwa yakifanyika upande wa pili na ndiyo maana kulikuwa na idadi kubwa sana ya wabunge waliomfuata na wala hawakwenda kwenye vyama vingine.
Source: DW
Chukueni mtu wenuMembe sijui kama anajielewa. Sijui.
Halima Mdee, Zitto Kabwe, Mnyika na LemaHapo kwenye idadi kubwa ya wabunge waliomfuata naomba niwajue kwa anayewajua tafadhari
Kangi LugolaHapo kwenye idadi kubwa ya wabunge waliomfuata naomba niwajue kwa anayewajua tafadhari
Membe anatakiwa kuamka kutoka usingizini. Hao wabunge wengi sana atakuwa aliwaona ndotoni...ndiyo maana kulikuwa na idadi kubwa sana ya wabunge waliomfuata na wala hawakwenda kwenye vyama vingine.
Source: DW
Hapa membe nilimuelewa sana yani.Kwa lengo lipi? Au kwa kupata cheo kipi, ambacho kufumba na kufumbua unaweza kujikuta umetumbuliwa?",
Jana wakati anasema kuna viapo hawezi kuvivunja tupo tuliomuelewa zaidiNimetoka kusikiliza mahojiano ya mgombea urais wa JMT kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo muda mfupi uliopita kwenye kituo cha DW. Mtangazaji katupa maswali ambayo nilikuwa nikitamani sana siku moja kusikia BM mwenyewe akiyatolea ufafanuzi licha ya kusikia juu juu tu.