Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

Mbona kwenye hiyo list waziri mkuu hujamweka??
Acha upendeleo wa kuchochea ili wachukiwe muweke hapo na majaliwa nitakuelewa
 
Kuna aliye angalia jana kipindi cha dakika 45 ITV? Waziri wa kilimo alisema kwa sasa korosho zinakusavywa tu halafu zitauzwa,then wakulima watakuja kulipwa.



Ina maana wamekopwa.. very sad
Wakulima wamekopwa korosho nipo huku kusini hali ni tete liache hilo mburula hapo juu libwabwaje ila ajue huyo rais wake kura za watu wa kusini hazimuhusu
 
Angezinunulia shambani ili kuwajua wamiliki hii ya kununulia ghalani na kugoma kuwalipa ni dhuluma na dhuluma uleta laana ya kufail kila kitu
 
Wakulima wamekopwa korosho nipo huku kusini hali ni tete liache hilo mburula hapo juu libwabwaje ila ajue huyo rais wake kura za watu wa kusini hazimuhusu
Alambae rambi rambi nini koroshow
 
Wakulima wamekopwa korosho nipo huku kusini hali ni tete liache hilo mburula hapo juu libwabwaje ila ajue huyo rais wake kura za watu wa kusini hazimuhusu
Mlianza vipi na nyie kutoa mzigo bila Pesa kwanza fanyeni kama mmetoa sadaka
 
Mlianza vipi na nyie kutoa mzigo bila Pesa kwanza fanyeni kama mmetoa sadaka
Nipo kushuhudia movie ni kama mungu aliniambia nisinunue korosho kikangomba .....vinginevyo sasa hivi na Mimi ningekua natukana kila mtaa
 
Sijui unaandika ukiwa wapi kama ungefika Mtwara na Lindi Kwa wakati huu usingeandika haya uliyoyandika labda kama unaandika Kwa lengo LA propaganda na kupotosha umma. Huku kaka Kwa taarifa yako halo ni mbayà sana na hakuna anayemzunguza vizuri magufuli kifupi anatutesa wakulima
Mwache ajitie wazimu salamu watazipata tu
 
Malumbano ' ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' ambayo sioni ' Tija ' yake kwa nchi na Taifa huku tukijua ya kwamba bado kuna matatizo mengi sana tena ya ' Kimaendeleo ' yanaisibu Tanzania yetu na Watanzania mmoja mmoja

Hivi sasa serikali haina budi kujikita kushuhulikia kupungua kwa thamani ya Shilingi yetu dhidi ya $$$ kwani athari zake ni kubwa kwa uchumi wa nchi!!!
 
Wewe subiri tu mwaka 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wa ule wa 2020, hakuna cha kampeni mzee kila kitu kishaisha. Mlimu-beep Magufuli akawapigia, sasa mnalialia, why?
Angalia picha hii hapa utoe maksi.

View attachment 955911
Tofautisha kati ya kununua na kukusanya ndg, tumia akili kufikiri.

Bili 32 unaweza kununua tani ngapi?
 
View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.

Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.

Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
  • Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
  • Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
  • Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
  • Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.


Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.

Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.

So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.

Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.

Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawapigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.

Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha na kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.

Ngoja tuone!!

Waziri alisema isipungue 5000/= kwa kilo
 
Mtu mwenyewe ulichokiandika hujui unamaanisha nini.
TWENDE NA MEMBE 2020View attachment 955710
4037AF66-2410-43E7-9893-5E0E92418801.jpeg
 
Back
Top Bottom