Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndo nimekutana na maajabu, kama ni kweli wanauliza hadi kabila na usipokuwa kabila wanalolitaka wanakufanyia huu unyama. BASI NAUNGA MKONO JIWE MUST GO BEFORE 2020.Machungu ya korosho tunayajua wenyewe! Nyinyi mnaanzisha nyuzi za kinafiki huku watu tumepoteza hela zetu kwenye uwekezaji! Pumbavu zenu nyie, kila siku mnatudanganya Tanzania haina ukabila wakati ukiwa na vikorosho vyako kilo 200 unaulizwa shamba lako wapi na ukiwaonesha shamba watakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema wewe msukuma, mchaga, au kabila lolote lisilokuwa la kusini unalala selo kwanza siku tatu then unaporwa na korosho na makofi juu. Ina maana mtu kufanya uwekezaji sehemu fulani lazima uwee mzaliwa wa sehemu hiyo.
Mungu hajalala hata siku moja, makomeo atakufa kifo cha aibu huku kaachama mdomo wazi kwa roho mbaya yake tuu!
View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.
Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.
Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
- Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
- Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
- Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
- Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.
Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.
Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.
So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.
Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.
Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawapigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.
Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha na kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.
Ngoja tuone!!
Una uhakika waziri amesema hivi?!!!Kuna aliye angalia jana kipindi cha dakika 45 ITV? Waziri wa kilimo alisema kwa sasa korosho zinakusavywa tu halafu zitauzwa,then wakulima watakuja kulipwa.
Ina maana wamekopwa.. very sad
KwendraaaaaMembe kawashika mayai ya downtown... 2020 twende na Membe
Hivi kwanini jiwe hajitokezi hadharani kupambana na Membe badala yake anatuma vidagaa ?Hahahahaaaa
Mtaongea yote aisee....
Mtaongea kama kasuku.....sikujua kama Membe ni jitu linawaogopesha namna hii aisee!
CCM bana...mahoka matupu!
Kwendraaaaa
Lijemba limebakwa red handed
Ma deal yao ya korosho yote yamepigwa chini uwiii
Membe stroke hiyo walahi View attachment 955610
Hivi kwanini jiwe hajitokezi hadharani kupambana na Membe badala yake anatuma vidagaa ?
pole sana kiongozi, ila wanatuaminisha kwamba tupo kwenye RAITI TRAKI Mungu baba awalaani woteMachungu ya korosho tunayajua wenyewe! Nyinyi mnaanzisha nyuzi za kinafiki huku watu tumepoteza hela zetu kwenye uwekezaji! Pumbavu zenu nyie, kila siku mnatudanganya Tanzania haina ukabila wakati ukiwa na vikorosho vyako kilo 200 unaulizwa shamba lako wapi na ukiwaonesha shamba watakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema wewe msukuma, mchaga, au kabila lolote lisilokuwa la kusini unalala selo kwanza siku tatu then unaporwa na korosho na makofi juu. Ina maana mtu kufanya uwekezaji sehemu fulani lazima uwee mzaliwa wa sehemu hiyo.
Li serikali letu ni baguzi na jizi lisilo na huruma na watu wake! Linadhani mtu kwenda kuwekeza sehemu ni dhambi. Ujinga mtupu, watu tumepoteza hela zetu kuwekeza alafu unakuja kutupora mali zetu kiboya boya tuu, magu si mtu, na wanaomsifiwa kwenye hii ishu ya korosho ni wapuuzi tuu wasio na uwezo wa kufanya kazi. Kazi yao ni kutengeneza ma id mapya tu kila siku jf na twita na kuanza kupiga mapambio.
Miaka ya nyuma nilikuwaga simwelewi mzee wangu kwa nini hawataki ccm na watu wake, nimeanza kumkubali alikuwaga sawa. Yeye ni mpinzani tangia miaka hiyo isiyo na vyama vingi, ni mpinzani wa miaka ya 80 aliyepata misukosuko tangia enzi za akina nyerere mpaka huyu ibilisi wa sasa! Akina mbowe hao hawajasumbuliwa. Muulizeni mzee wangu ataeasimulia mabaya ya ccm na vibaraka vyake.
Ccm ni adui wa nchi hii. Wanataka watajirike wao tuu, tukilima na kutafuta kwa jasho letu mashambani wanapora, tukianzisha biashara zetu kwa akili zetu tunaitwa sijui kagomba sijui wahujumu uchumi na wapiga dili, upumbavu mtupu! Wanataka wao pekee yao wawe 'KANGOMBA' wakuu. Wenzao wawe malofa tuu.
Wameniteketezea mtaji wangu kwenye mambo mengi sana hawa mbwa, dhambi yao itawafuata walahi.
Alafu mtu kama huyu aanzishe liuzi la kishenzi kama hili halafu nimpe like?? Waendelee kuiba tuu ila siku zao zinahesabika. Yaani mimi hela nitafute mimi na uwekezaji nifanye mimi kwa kuona fursa halafu wanipore kizembe hivi, sawa wao wana jeshi ila Mungu hajalala hata siku moja, makomeo atakufa kifo cha aibu huku kaachama mdomo wazi kwa roho mbaya yake tuu!
Watamwoneaje hapo, kwa nini wengine waliogombea mwaka 2015 zaidi ya 20 hawana shida iweje huyu Membe.If you want to maintain power work well with bureucracy,JPM kuwa makini na kauli zako kwa watumishi.Membe mnamwonea tu.
View attachment 955390
Siasa za korosho zimemuinua zaidi Rais Magufuli na kumdhohofisha zaidi Bernard Membe katika ngome yake.
Kumekuwepo na tetesi kuwa, Bernard Membe, pamoja na mtandao wa watu wake wakiwemo, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na wengine wanaotokea Mikoa ya Ukanda wa Pwani; hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei ya juu kuliko iliyokuwa imepangwa hapo awali.
Maneno aliyoongea Nape Nnauye bungeni yanaonyesha wazi kuwa bado hawakufurahishwa na uamuzi wa Serikali kununua korosho kwani Nape badala ya kufafanua uamuzi wa Serikali kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu, yeye:
- Aliwasifia wakulima kwa kuwa wavumilivu na watulivu.
- Kukosoa Serikali kuwa, haikutumia busara kushughulikia sakata la korosho.
- Kuitaka Serikali inunue haraka korosho ili wakulima wasipate hasara zaidi.
- Halmashauri kuingia hasara kutokana na kutegemea korosho.
Aidha, akiwa ziarani mkoani Arusha, Rais Dk. John Pombe Magufuli aliwatuhumu baadhi ya wanasiasa kwa kutaka kuihujumu Serikali katika uuzaji wa zao la korosho. Alisema kuwa, baadhi yao walinunua korosho changa kwa wakulima katika mfumo wa kangemba na sasa wanataka kuiuza wakati hawana mashamba. Rais alisema korosho itakayonunuliwa ni ile ya wale watakaoonyesha mashamba yao na watakaoshindwa kuonyesha mashamba yao, korosho yao itataifishwa.
Hivyo, ni wazi kuwa, wanasiasa wa Mikoa ya Kusini anakotokea Membe na Nape, walijisikia vibaya sana kuona Serikali ikiamua kununua korosho tena kwa bei ya Tsh. 3,300.
So alichofanya Dk. Bashiru ni mwendelezo wa hatua za kisiri siri za kundi la Membe kuihujumu Serikali ya Awamu ya Tano, tena kwa kusaidiwa na baadhi ya Makada wa Chama, ambao wengi wao ndio waliokuwa Viongozi kwenye utawala uliopita na ambao wameachwa ama kutumbuliwa katika Awamu ya Tano.
Hata kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Hawa Ghasia ni kutokana kushindwa kwake kuishauri Serikali kwa kuwa, alikuwa katika kundi linalohujumu Serikali.
Kwa ujumla, kitendo cha Rais Dk. John Pombe Magufuli kuamua kununua korosho tena kwa bei ya juu ya Tsh. 3,300 kimewaacha Wapinzani wake ndani ya CCM midomo wazi kwani hawakutegemea kabisa kuwa, Serikali ingekuwa tayari kwenda that extra mile. Walijidai kumu-beep Magufuli, naye akawapigia - sasa wanaugulia mioyoni mwao.
Na ghafula Kanda ya Ziwa, Kanda Kati, Kanda ya Kusini na Kanda ya Magharibi zimeenda kwa Magufuli huku Nyanda za Juu yote (isipokuwa Mbeya) ikiwa pia kwa Omuzilankende. Kanda ipi imebaki? Huko Kaskazini baada ya CHADEMA kumkorofisha na kumdharau Lowassa, ni wazi 2020, itakuwa nusu kwa nusu.
Ngoja tuone!!
Zimeshataifishwa ndio maana anahaha huku na huku, sijui wanakuja mitandaoni na kampuni za Membe eti awe Rais 2020, alikuwa wapi 2015?Oooh,sasa ndo nimeelewa,kumbe Membe ndo amezuia korosho isinunuliwe kule mtwara/lindi,
halafu ghasia na nape nao hawaungi mkono juhudi za kununua korosho,
ndo maana zoezi linaenda polepole,,,ok,
sasa kama membe ana kangomba si mtaifishe?
Au labda kazificha hamuezi kuzifikia?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]korosho zipi zilizonunuliwa??
tan 200 out of tan 274,000
Leo ndo nimekutana na maajabu, kama ni kweli wanauliza hadi kabila na usipokuwa kabila wanalolitaka wanakufanyia huu unyama. BASI NAUNGA MKONO JIWE MUST GO BEFORE 2020.