Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

Mbona kwenye hiyo list waziri mkuu hujamweka??
Acha upendeleo wa kuchochea ili wachukiwe muweke hapo na majaliwa nitakuelewa
 
Kuna aliye angalia jana kipindi cha dakika 45 ITV? Waziri wa kilimo alisema kwa sasa korosho zinakusavywa tu halafu zitauzwa,then wakulima watakuja kulipwa.

Ina maana wamekopwa.. very sad
Wakulima wamekopwa korosho nipo huku kusini hali ni tete liache hilo mburula hapo juu libwabwaje ila ajue huyo rais wake kura za watu wa kusini hazimuhusu
 
Angezinunulia shambani ili kuwajua wamiliki hii ya kununulia ghalani na kugoma kuwalipa ni dhuluma na dhuluma uleta laana ya kufail kila kitu
 
Wakulima wamekopwa korosho nipo huku kusini hali ni tete liache hilo mburula hapo juu libwabwaje ila ajue huyo rais wake kura za watu wa kusini hazimuhusu
Alambae rambi rambi nini koroshow
 
Wakulima wamekopwa korosho nipo huku kusini hali ni tete liache hilo mburula hapo juu libwabwaje ila ajue huyo rais wake kura za watu wa kusini hazimuhusu
Mlianza vipi na nyie kutoa mzigo bila Pesa kwanza fanyeni kama mmetoa sadaka
 
Mlianza vipi na nyie kutoa mzigo bila Pesa kwanza fanyeni kama mmetoa sadaka
Nipo kushuhudia movie ni kama mungu aliniambia nisinunue korosho kikangomba .....vinginevyo sasa hivi na Mimi ningekua natukana kila mtaa
 
Mwache ajitie wazimu salamu watazipata tu
 
Malumbano ' ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' ambayo sioni ' Tija ' yake kwa nchi na Taifa huku tukijua ya kwamba bado kuna matatizo mengi sana tena ya ' Kimaendeleo ' yanaisibu Tanzania yetu na Watanzania mmoja mmoja

Hivi sasa serikali haina budi kujikita kushuhulikia kupungua kwa thamani ya Shilingi yetu dhidi ya $$$ kwani athari zake ni kubwa kwa uchumi wa nchi!!!
 
Wewe subiri tu mwaka 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wa ule wa 2020, hakuna cha kampeni mzee kila kitu kishaisha. Mlimu-beep Magufuli akawapigia, sasa mnalialia, why?
Angalia picha hii hapa utoe maksi.

View attachment 955911
Tofautisha kati ya kununua na kukusanya ndg, tumia akili kufikiri.

Bili 32 unaweza kununua tani ngapi?
 
Waziri alisema isipungue 5000/= kwa kilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…