Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Dar es Salaam, Tanzania

BERNARD MEMBE: NI UCHAGUZI WA KISHINDO

Mahojiano na mwandishi S. Kubenea wa MwanaHALISI TV nyumbani kwake Mh. Bernard C. Membe Waziri wa Mstaafu wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Bernard Membe amegusa mambo mengi kuhusu siasa nchini pamoja na nia yake ya kutaka kugombea urais wa Tanzania kupitia chama pinzani mara baada ya kutimuliwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Chanzo: MwanaHALISI TV
 
Kisiasa huyu bwana bado yupo?
Angekuwepo sana angejua namna ya kuchanga na kuzicheza vizuri karata zake.

Kuna hasira kubwa na nyingi ndani ya CCM.

Yeye angetumia hali hiyo kusaidia, sio kutafuta cheo wakati huu.

Hili la kugombea ndilo linalowaonyesha viongozi wengi walimo CCM na katika vyama vingine kwamba hakuna 'commitment' yoyote na maslahi ya nchi, bali maslahi yao ndio wanayoyatanguliza mbele.
 
Membe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu, sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili?

Au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.
 
Magufuli tumemwelewa unapoteza muda wako. Hatutaki kuturudisha uturudishe tulikotoka. Tunasonga mbele na Magufuli.
 
Membe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.
Yule ni mamluki na pandikizi Kama Lowasa na sumaye baada ya kuzigawa kura za upinzani atarudi ccm kwa maigizo ya kusamehewa Kama wenzake waliorudi. Hata hizi bifu za kudukuana na kumpa musiba ni michezo ya ccm kuelekea uchaguzi kwa kuwahadaa wapinzani.

Atarudi CCM baada ya kazi.
ACT wasifanye kosa la chadema 2015
 
Membe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.
Jipe moyo
 
Back
Top Bottom